stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
Rudi shule kwanza au hata kama unamchukia mtu sio hivyo, hapo ulitaka ni nyumba nzima idondoke. Chuki kitu mbaya sana