Diamond aonyesha Hundi ya pesa aliyokabidhiwa na UAP kupitia CRDB

Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara

Rudi shule kwanza au hata kama unamchukia mtu sio hivyo, hapo ulitaka ni nyumba nzima idondoke. Chuki kitu mbaya sana
 
Usioneshe upuuzi wako hapa, mi nimchukie mtu ili iweje? Nimeandika nnavyojua na wewe unaruhusiwa kukosoa na kusahihisha kama wengine walivyosahihisha .....utafikiri wote waliomo humu ni watoto na kula kulala kama wewe?kiazi we
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara

Wewe ulisoma insurance form 2 commerce itakua ndo maana uko shallow hvo.
 
Ndio cheki za Crdb zilivyo hivyo ...
Kweli sie noma ndio maana All Shababi hagusi hapa
 
Samahani sana bibie, naona nimemgusa bwana wenu basi nakula matusi tuu.

Acha matusi wewe.umeona nimemwongelea mtu hapo? Wewe uliishia commerce ya form 2 na kile kitabu cha njano cha n.e saleem and by the way mm sio msikilizaji wa bongo flava nimeshangazwa na ukilaza wako kwenye mambo mepesi hivi.
 
Si nimekuomba samahani bibie? Au unatafuta lingine?
 
Kila kampuni ya bima ina kitu kinaitwa 'Policy'....so ni wewe unaetaka bima ndio unapaswa kuchagua policy gani inakufaa. Hivyo kuna makampuni mengine hata majanga ya kigaidi yakitokea wao ndio ufidia!
 
Usioneshe upuuzi wako hapa, mi nimchukie mtu ili iweje? Nimeandika nnavyojua na wewe unaruhusiwa kukosoa na kusahihisha kama wengine walivyosahihisha .....utafikiri wote waliomo humu ni watoto na kula kulala kama wewe?kiazi we

Teh teh teh ,,,na familia mkuu yaani kama nisingewahi kuoa inawezekana ungekua shemeji yangu kwa yule dada yako afu ungekuja kukaa kwangu. Unabeba vyuma Mwili mkubwa halafu unakaa kwa shemeji.
 
Bahati mbaya sana si tupo wa kiume halafu tulianza achiwa majukumu tukiwa bado vijana sana, kabla ya kuondoka bongo nimepiga sana wake za watu, na kila nikirudi likizo naliendeleza so muulize mkeo vizuri inawezekana nae ni mmoja wa nnaowapitia kila nikija bongo
 
Back
Top Bottom