Mkuu watu kama hawa unakuta anayafuatilia maisha ya huyo Diamond kuliko hata anavyoyafuatilia maisha yake yeye mwenyewe!!
Fainali uzeeni,vijana angalieni msije kuwapa kazi watu uzeeni mwenu,
Na wewe umasimama mbele ya watu na kujiita mwanaume........umekaa unatangaza kabisa et "" oya jamani ku mwanaume mwenzangu huko kapata bonge la dili,, aaahh noma sana"""