zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Msanii Punda hafai kushabikiwa katika maisha haya ya kitanzania, Diamond hajui na Hana kipaji simpendi na sitomshabikia hadi nakufa
Davido anakuhusu nini wewe! Acha kujiuza kwa wageni wewe!. Davido ndio mp.uuzi gani?Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.
Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.
Mashabiki wa Diamond na Mashabiki wa Wema akili zao zinafanana sana kwani upeo wao ni mdogo sana leo nitataja aina ya mashabiki wa watu hawa au sifa zao ni kama ifuatavo
1. Ni watu wasio na exposure
2. Ni watu ambao upeo wao kifikra upo chini au kwa lugha nyingine sio watoto wa mjini
3. Wengi wao wamelelewa bila maadili ktk jamii zao na ndio hao hufurahia uvunjaji wa maadili wa Diamond ktk jamii na huchekea na kufurahia upuuzi
4.Mashabiki wa Diamond na Wema wengi wao katika mapato yao binafsi ni shida.
hivi ww hujawah kuvunja maadl ya jamii eeh.hujawah kuzini,kusengenya,kusema uongo nk.toa kbanz chako jichoni.na eti mashabk wa chibu mapato yao n shida embu jiulze huyo msanii unaempenda ameshawah kufanya shoo ya kiinglio elf hamcn then pakajaza?
Bibi wee achana nao...hawana LA kusema juu ya Chibu sasa wamehamia kwa mashabiki...wao wana nini labda? Heheheeeee.....!
Na bado marinda yataendelea kuwatatuka kwa kunya mafenesii .....Chibu juuu miaka 100000000000000000000000000000000000000005.075.....
Nije kufanya nini?
Hahaha matola alikuwa team kiba naona sasa kahamia kwa davido. .. hahahahaha
Huu ni ukweli mchungu kwa wengine lakini hakuna asiyekubali suala hilo pamoja na wale wanaom-dis... ni kweli, TUTAKE AU TUSITAKE, no one else nje ya mipaka ya Tanzania anaweza kupata mapokezi makubwa as compared to Chibu...Mie sie muumini wa hizi mambo za team team,,,penye ukweli tuseme tu hata kama inauma lakin haina jinsi ndio itabaki hivyo DIAMOND kwass ni habari nyingine. Maana sidhani kuna msanii mwingine Tanzania anaweza kupokewa hivyo akiwa nje. Kwa hapa sitoshangaa hata Ali Kiba akipokewa biharamuro au Ileje lakin sio hata Uganda maana hata promoter atakula hasara watatumbuiza viti tu
Mashabiki wa Diamond na Mashabiki wa Wema akili zao zinafanana sana kwani upeo wao ni mdogo sana leo nitataja aina ya mashabiki wa watu hawa au sifa zao ni kama ifuatavo
1. Ni watu wasio na exposure
2. Ni watu ambao upeo wao kifikra upo chini au kwa lugha nyingine sio watoto wa mjini
3. Wengi wao wamelelewa bila maadili ktk jamii zao na ndio hao hufurahia uvunjaji wa maadili wa Diamond ktk jamii na huchekea na kufurahia upuuzi
4.Mashabiki wa Diamond na Wema wengi wao katika mapato yao binafsi ni shida.
Chokoraa kama wewe hata usipomshabikia humpunguzii chochote
Angalia sasa... halafu unawaambia wenzako kwamba upeo wao wa kufikiri ni mdogo! Yaani unasema mtu kama huyo huwezi kumjibu wakati umeshamjibu!!! What a cra'p...watu kama wewe hua siwajibu na unavoandika unaonekana unamaisha magum sana na stress karibu zikuue
Mashabiki wa Diamond na Mashabiki wa Wema akili zao zinafanana sana kwani upeo wao ni mdogo sana leo nitataja aina ya mashabiki wa watu hawa au sifa zao ni kama ifuatavo
1. Ni watu wasio na exposure
2. Ni watu ambao upeo wao kifikra upo chini au kwa lugha nyingine sio watoto wa mjini
3. Wengi wao wamelelewa bila maadili ktk jamii zao na ndio hao hufurahia uvunjaji wa maadili wa Diamond ktk jamii na huchekea na kufurahia upuuzi
4.Mashabiki wa Diamond na Wema wengi wao katika mapato yao binafsi ni shida.
Maana humu wengine walikuwa wananyonya wakati First lady wa Kenya Mrs Moi analimwaga huno kwenye Inde monie ndani ya uwanja wa Nyayo mpaka alfajili mke wa Rais hajarudishwa ikulu mabodigadi nao wamenogewa na sebene, Moi akatowa amri kwa Kanda Bongoman kuondoka Kenya ndani ya masaa 24.........
Unajuwa alivyotuwa bongo show yake kiingilio kilikuwa shilling ngapi? Ni shilling laki moja za Kitanzania na ticket zilikwisha, imagine kipindi hicho Rais wetu ni Mzee Mwinyi.
Usishangae, shule zishafungwa basi taabu tupu jumu jamvini...ume ongea kitoto sana.
Usishangae, shule zishafungwa basi taabu tupu jumu jamvini...
Uje tutete ya kwetu na cc
Usishangae, shule zishafungwa basi taabu tupu jumu jamvini...
Yaani huyo ni mwanafunzi kabisa... mi mwenyewe baada ya kunijia ufahamu nikajilaumu kwamba nimepoteza muda kujibishana na mwanafunzi manake ni kumpa attention asiyostahili...Huyu aloe vera inaonekana ni mwanafunzi wa Mkwajuni Primary School, hela ya kuendea tuition ananunulia bundle ya kutusumbua huku jukwaani