Hapana wanasema dogo ni jeuri sana yani anaringa sana ndo maana tuzo nyingi wanambania ila wizkid Africa hamna kama yule kwa sasa davido promo nyingi ila hamuwezi hata kidogo wizkid na lisauti lake kama churaHaaah ngoja anaweza pata iyo nafac iliobaki halafu naona mwakani ndo utakuwa mwaka wake
Hapana wanasema dogo ni jeuri sana yani anaringa sana ndo maana tuzo nyingi wanambania ila wizkid Africa hamna kama yule kwa sasa davido promo nyingi ila hamuwezi hata kidogo wizkid na lisauti lake kama chura

Yani yule zarau ndo zinamuangusha katika tuzo nyingiWizkid ni mkali sana sema kiburi ndio tatizo
Tutaleta bado nomination zinatajwa
hiyo nchi inajumuisha na kaskazini?pamoja sana mkuu mtu anaejituma na mafanikio tunayaona na anaitangaza nchi yann tumchukie ni ku voteeee tu
Wizkid ni mkali sana sema kiburi ndio tatizo