Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo

Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo

Ile tuzo ya MTV MAMA nilitumia pesa nyingi kumpigia kura lakini kutokana na yeye kujiingiza kwenye siasa za majitaka kipindi hiki nitakuwa msomaji tu.
 
  • Thanks
Reactions: aye
Nitapiga Kura kama wizkid atakuwa nominated baaaas
 
  • Thanks
Reactions: aye
Diamond platnumz Best african act 2015 sijaona mpinzani hapooo



.WCB tushaibeba hii
 
We jipe matumaini tu. Baadae msije hapa mnalia oh Team kiba mara sijui Team wema wanawahujumu.....
 
We jipe matumaini tu. Baadae msije hapa mnalia oh Team kiba mara sijui Team wema wanawahujumu.....

Sasa hao team coming soon wamuhujumu nani wakati hata nyimbo yao kuonekana mtv haijawahi wamhujumu mtu anaeongoza namba moja chart ya afrika kwa wiki ya tatu mfululizo sahivi kwa lipi??

Kama wanaona mtu wao bado yupo vizuri wafanye hata kuanza kumuongezea followers amfikie hta zari tu au shilole ila najuwa haiwezi kutokea maana hanaga mvuto wa kisanii wala kistar zeroooooo ashukuru tu kiki anazopewa na diamond kuzungumziwa zungumziwa anafurahi mwenyew
 
Vp kiba nae yumo? teh teh teh..... ali kiba buuuuuuuu...... kabumaaaaa hah hah.... wait atanyooooka tuu..
 
Hongera sana Baba Tiffah kwa kutambulika kikazi ni ushindi mkubwa, Mungu ajalie uilete TZ.
 
Sauti sol won it last year nothing new for him
 
Sauti sol won it last year nothing new for him

Lazima muumie kwasababu kiba unajuwa sio level zake, na wala hawamfahamu...

Na bet utasema nothing new kisa mwakahuu Stonebwoy kashinda mbele ya wakina wizkid, aka, sarkodie hahahaha

Utanyooka jomba endelea kuisoma namba, hii haina kurudi nyuma ni ngazi tu!!!
 
Back
Top Bottom