Sasa hao team coming soon wamuhujumu nani wakati hata nyimbo yao kuonekana mtv haijawahi wamhujumu mtu anaeongoza namba moja chart ya afrika kwa wiki ya tatu mfululizo sahivi kwa lipi??
Kama wanaona mtu wao bado yupo vizuri wafanye hata kuanza kumuongezea followers amfikie hta zari tu au shilole ila najuwa haiwezi kutokea maana hanaga mvuto wa kisanii wala kistar zeroooooo ashukuru tu kiki anazopewa na diamond kuzungumziwa zungumziwa anafurahi mwenyew