Diamond apata shavu , kutumbuiza na Neyo United Kingdom

Diamond apata shavu , kutumbuiza na Neyo United Kingdom

A
Ana show na chris brown mombasa pia
ANGALIA HILO BANGO UJUE YEYE ANAONEKANA NI WA LEVEL ZIPI ........ yeye ni mmoja kati ya kundi kuuuuuuuuuubwa la wasanii litakalo perfom na ambao hata kwenye bango hawajawekwa, na hata kwenye matangazo yao ya barabarani na redio na tv HAWATAJWI.
Chris-Brown-II.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aki wabongo mna maneno
 
Raha ya domo hua anatumia fursa anazozipata vizuri tofauti na yule raisi wa kariakoo
 
Wizkid & Chris Brown
Diamond & NeYo
Uko sahihi,kumtaja Kiba kwenye shoo ya Mombasa ni kuwatukana waandaaji ambao HATA WAO WENYEWE HAWAWATAJI (maana kuna wasanii wengi sana wa Kenya watapefom siku hiyo) HEBU ONA HILI BANGO.
Chris-Brown-II.jpg
 
wakipost tembo yeye anapost show ---**&%
 
Hongera sana Diamond Platnumz, wasanii wengine waongeze juhudi zaidi ya Diamond ili kuitangaza zaidi Tanzania yetu kimataifa zaidi
 
Kweliiiiiiii

Halafu mkuu namtafuta me and I utakapo muona nistue, nna muhutaj sana, kapotea sana tangu ile team yao ikose jipya hapa town
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,poa poa ila hajapost tangu 26 Sept ,jana alichungulia chungulia tu humu af akasepa
 
wa kariakoo watupishe!!!!![emoji41]
 
Back
Top Bottom