samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
ANGALIA HILO BANGO UJUE YEYE ANAONEKANA NI WA LEVEL ZIPI ........ yeye ni mmoja kati ya kundi kuuuuuuuuuubwa la wasanii litakalo perfom na ambao hata kwenye bango hawajawekwa, na hata kwenye matangazo yao ya barabarani na redio na tv HAWATAJWI.A
Ana show na chris brown mombasa pia