Diamond apata shavu , kutumbuiza na Neyo United Kingdom

Diamond apata shavu , kutumbuiza na Neyo United Kingdom

Neyo is ungoogleable.

I tried to Google "Is Neyo a star"

He has a song about that that is flooding my search

Google

I tried to Google "Is Neyo overrated" he has a song about that too

Google

I tried to Google "Is Neyo over the hill"

He has a song about that too

Google
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Diamond platnumz ameendelea kukuza mziki wake baada ya kupata shavu kubwa la kutumbuiza kwenye majukuu makubwa nnchi uingereza akiwa na mkali kutoka marekani Neyo.
Mtandao wa Revolt Africa umetoa taarifa hiyo.
Diamond mwenyewe kwenye kipindi cha playlist cha times fm alisema amekuwa karibu na Neyo na kuna mambo makubwa anajifunza na wanafanya pamoja
Ziara hiyo itafanyika kwenye miji 6 uko United Kingdom
View attachment 413812
Kiba apata shavu la kutumbuiza na manfongo.Ni katka fiesta ya mwisho Dar
 
Watu wacha wamchukie wamseme kila wanavyotaka kumsema, lakini jamaa anastahili kusema kweli anajituma sana na juhudi zake ndiyo zinazidi kumpatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Wenye roho mbaya wanajaribu kumzushia kwamba anajihusisha na biashara ya unga kwa sababu ana pesa nyingi kuliko wanavyoona wao. Baadhi ya Wabongo ndivyo walivyo wana roho mbaya kuliko hata mashetani.

Imefika stage hata sishangai yaan mchiz mambo yanamnyookea tu.
Hardwork pays
 
Ubarikiwe
Hahahaha nitahakikisha nakumbuka Mkuu..
Hopeful this weekend ntaweka stori mpya..
sana mkuu, kuna jamaa zangu huwa nawashushia hizi story zako kwa epsode mida ya lunch wao wanalipia lunch tu. Ila nawambia nakozipata na nina hakika nimekuongezea some followers.
 
Kwa hiyo atawaimbia Salome wazungu? You are not serious bro.
Koffi akija bongo au msanii yeyote yule wa kikongo akiimba huwa unamuelewa kila kitu?ila mbona watu wanajaa?
 
Naona wanaume wa Dar wanavuana nguo [emoji41]
At your best professional.

[emoji817]
 
Dah hapo pagumu aisee.. Ila mi naona Chris Brown mkali.
Duh sasa huyo Chris Brown si international artiste ukiingia tu Zambia ukaulizia kuna mwanamziki anaitwa Dimond watakwambia madini hayawezi kuimba.

[emoji817]
 
Msanii hata wandaaji hawajakuweka kwenye mabango yao.
CB-X-Wizkid.jpg
Mkuu mbona unachanganya mambo post inamuhusu diamond kupata shavu huko majuu wewe unaleta mapicha ya mombasa huoni unachanganya watu!
 
Watu wacha wamchukie wamseme kila wanavyotaka kumsema, lakini jamaa anastahili kusema kweli anajituma sana na juhudi zake ndiyo zinazidi kumpatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Wenye roho mbaya wanajaribu kumzushia kwamba anajihusisha na biashara ya unga kwa sababu ana pesa nyingi kuliko wanavyoona wao. Baadhi ya Wabongo ndivyo walivyo wana roho mbaya kuliko hata mashetani.

Wenye roho mbaya hawafiki mbali
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu mbona unachanganya mambo post inamuhusu diamond kupata shavu huko majuu wewe unaleta mapicha ya mombasa huoni unachanganya watu!
He he...
Habari inayomuhusu Diamond hata Ali Kiba inamuhusu pia..!
 
Back
Top Bottom