Amekwambia yeye ndio anataka kukaa?Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Kujenga si lazima nyumba ya vyumba sita na mabanda ya uani, anaweza kushusha mansion hapo yenye gym, studio na undeground parkingRobo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Wanamuongezea umaarufu tu, na yeye fyozaa cku kakibarua kake kakifa atataman ajifiche kabatin?Ruge anamtumia Shonza kumharibia dogo..Watanzania bure kabsa..Hongera Diamond, Watapambana tu but muda ndiyo mwalimu mzuri.
ile aliyepewa na trumpAli kiba na yeye kapewa ardhi Marekani
Ni kijisehemu kidogo sana hatua 20 kila upande mimi mwenyewe hakanitoshi lakini kwa kuwa ni ugenini ashukuru maana ni ngumu kupata ardhi nchi ambayo siyo yakoRobo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Naona umetumia fursa kupiga kijembe cha kiaina.
Robo heka ni 35m x 35m.Ni kijisehemu kidogo sana hatua 20 kila upande mimi mwenyewe hakanitoshi lakini kwa kuwa ni ugenini ashukuru maana ni ngumu kupata ardhi nchi ambayo siyo yako
Na nusu heka iwe ngapi kama eka ni 70m x 70m?Robo heka ni 35m x 35m.
35m x 70m = Nusu hekaNa nusu heka iwe ngapi kama eka ni 70m x 70m?
Poapoa nimekupata mkuu35m x 70m = Nusu heka
Umenena!truly jama kazaliwa na bahati
Well saidkwa kenya robo heka ni ardhi kubwa sana huwezi kuelewa mpaka wajuvi tunaoijua kenya kinaga ubaga tukufafanulie.
I doubt kama unafahamu ukubwa wa robo eka as a residential place!Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Hawa wamezoea kukatiwabshamba la mtu. Unajenga na kubakiza sehemu ya matuta ya viazi vitamu vya chai asubuhiI doubt kama unafahamu ukubwa wa robo eka as a residential place!
Hivi unafahamu kwamba robo eka is for low density residential area unayowea kujenga nyumba mbili za maana na eneo likabaki!
Hapo sasa... cku anakuja kuheshimu robo ekar ni pale anapokuja kuambiwa eneo la nyumba yao halifiki hata nusu ya robo eka!Hawa wamezoea kukatiwabshamba la mtu. Unajenga na kubakiza sehemu ya matuta ya viazi vitamu vya chai asubuhi