mchillo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 500
- 224
Diamond anaweza kufanya vizuri zaidi akiwa Kenya kuliko hapa kwetu. Tatizo la hapa hakuna uhuru na usalama kwa shughuli zake na upo uwezekano wa kuvurugwa na serikali wakati wowote na walevi hawa wa kisiasa. Kufungia kazi za kisanii ni hujuma mbaya sana haswa ikiwa inafanywa kwa inda na ikidi.