Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

Diamond anaweza kufanya vizuri zaidi akiwa Kenya kuliko hapa kwetu. Tatizo la hapa hakuna uhuru na usalama kwa shughuli zake na upo uwezekano wa kuvurugwa na serikali wakati wowote na walevi hawa wa kisiasa. Kufungia kazi za kisanii ni hujuma mbaya sana haswa ikiwa inafanywa kwa inda na ikidi.
 
Ruge anamtumia Shonza kumharibia dogo..Watanzania bure kabsa..Hongera Diamond, Watapambana tu but muda ndiyo mwalimu mzuri.
Wanamuongezea umaarufu tu, na yeye fyozaa cku kakibarua kake kakifa atataman ajifiche kabatin?
 
Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Ni kijisehemu kidogo sana hatua 20 kila upande mimi mwenyewe hakanitoshi lakini kwa kuwa ni ugenini ashukuru maana ni ngumu kupata ardhi nchi ambayo siyo yako
 
Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
I doubt kama unafahamu ukubwa wa robo eka as a residential place!

Hivi unafahamu kwamba robo eka is for low density residential area unayowea kujenga nyumba mbili za maana na eneo likabaki!
 
Hawa wamezoea kukatiwabshamba la mtu. Unajenga na kubakiza sehemu ya matuta ya viazi vitamu vya chai asubuhi
Hapo sasa... cku anakuja kuheshimu robo ekar ni pale anapokuja kuambiwa eneo la nyumba yao halifiki hata nusu ya robo eka!
 
28753966_203978290372144_9025687495517405184_n.jpg
28751539_387853285011458_4455575222917005312_n.jpg
 
Back
Top Bottom