Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye na Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua.

Kupitia insta story ameshea ujumbe huo kwa mashabiki wake.

Screenshot_20230218-203649_Instagram.jpg
 
Ni kama Miriam Odemba alivyo kuwa ana Hojiwa ktk kipindi cha mwanamama Dina Marios pale Efm

Aliulizwa umefunga ndoa kweli na yule Msanii? Maana hadi kwa wazazi wake mlifika na nini...

Alijibu yeye ana mume wake mzungu na mtoto sijui watoto, hivyo hakufunga ndoa bali ile ilikuwa ni kazi

Kazi ilikuja akamtaarifu mume wake, mume akamjibu kama pesa waliyo kuwekea kufanya hiyo kazi ina kutosha nenda kapige kazi

Kwa mujibu wa Mis Odemba... zote ni kiki
 
Illuminate huwa hawaoi na kama alioa kabla ya kuingia agano na lucifer huyo mke lazima wamnywe supu. Hapo kamchezea dada wa watu sasa anataka boya lijichanganye.
 
Back
Top Bottom