longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
haina kwere!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitaje mkuu au na ww hupendi show offAlly kashinda tuzo nyingi sema hapendi show off
Jengo lile wamepangisha..Hongera WCB kwa kununua Mjengo wa Bilioni moja na kushinda Tu(n)zo ya Kimataifa ambapo kwa Dunia ni WCB ndio wa kwanza kushinda,Hongereni sana,Tunasubiri TV na FM zenye level za DW/BBC kuja kufunika FM/TV za Duniani kote.
Inaonekana unajua siri nyingi za mondi.wewe ni mama tiffer au mama abdul?Jengo lile wamepangisha..
Hawajalinunua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiba yupo Mombasa kwa governor joho analelewa!
Mjukuu ukitaja huo mji babu yenu roho inatikisika. Elezea kwa undani juu ya hilo ili watu wasiwe na hisia hasi.Kiba yupo Mombasa kwa governor joho analelewa!
Ndio lugha zao mkuu kwani huwajui haoRekebisha heading yako ya kishabiki
Hawajakalishwa na yeye...
Davido kapata tuzo 3, wizy 2 ..unasemaje wamekalishwa ...
Boya Ww mond alikuwa nominated kwenye kipengele kimona na ndo amewakalisha kwenye hicho hichoRekebisha heading yako ya kishabiki
Hawajakalishwa na yeye...
Davido kapata tuzo 3, wizy 2 ..unasemaje wamekalishwa ...
Yan unatukana kwa ajili ya mwnaaume mwenzio haaaahaha pole sana hahhahaBoya Ww mond alikuwa nominated kwenye kipengele kimona na ndo amewakalisha kwenye hicho hicho