Diamond ashinda tuzo ya best male africa tuzo za Sound city MVP, awakalisha Davido na Wizkid

Diamond ashinda tuzo ya best male africa tuzo za Sound city MVP, awakalisha Davido na Wizkid

Hongera WCB kwa kununua Mjengo wa Bilioni moja na kushinda Tu(n)zo ya Kimataifa ambapo kwa Dunia ni WCB ndio wa kwanza kushinda,Hongereni sana,Tunasubiri TV na FM zenye level za DW/BBC kuja kufunika FM/TV za Duniani kote.
Jengo lile wamepangisha..
Hawajalinunua.
 
Rekebisha heading yako ya kishabiki

Hawajakalishwa na yeye...

Davido kapata tuzo 3, wizy 2 ..unasemaje wamekalishwa ...
Ndio lugha zao mkuu kwani huwajui hao
infact yy kaambulia tuzo moja wenzake mbili kwenda juu
 
Nafurahi kuona nchi za wenzetu nominees wanakua angalau hata wawili kama nigeria hapo kwenye nomination wapo 6 kutoka nchi moja sasa wabongo mmeendekeza majungu na u team mkaisahau Tanzania kwa u selfish wa kujali team kuliko nchi nilitamani hapo kuona alikiba, mond, nahreel, bela etc. Lakini yupo mmoja tu mond tukiacha kubaguana nao hawatatubagua watakua wanawapa thamani wasanii wetu, asante mondi kututoa kimasomaso[emoji119]
Mtazamo tu omo ruksa
 
Back
Top Bottom