Ukitaka ufanikiwe ktk maisha usideal sana na negative things, zitakupotezea timing ktk mambo yako ya msingi. Diamond platnumz adeal na mziki wake kwani Kuna watu wake wengi wanaulewa huo mziki wake wa ujanja ujanja, kuliko huo wao wanaouita mzuri, mi namwambia bwana mondi always ktk maisha Ukitaka ufeli au uwe na stress basi jilazimisha kufanya kitu ili kipendwe na kila mtu, always utafeli. DIAMOND PLATNUMZ FANYA MZIKI WAKO HUO HUO WA UJANJA UJANJA, SISI WATU WAKO TUNAULEWA NA SI TUNAJUA UNAFANYA KWA AJILI YETU NA NDIO MAANA UMECHUKUA TUZO, YOU DESERVE IT BRO NA BADO TUNAENDELEA KUKUSUPPORT NA KAMA HAUPENDI MZIKI WAKE JUA HAUKUHUSU.