Je utanipenda mtv ema tuzo tatu kama boro youngHakuna solo iliyompa tuzo. Weka ushahidi hapa. Sasa mnajipanga kutoka na nani
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Hayakua mashindano ya matusiVipi Ali Kiba wadau
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nasema nawe mwaka jana ilichukua tuzo kama wimbo bora wa mwaka Africa
Nitampata wapi ushawahi kuchukua tuzo
Je utanipenda imechukua tuzo kma wimbo bora wa afro pop africa
Au na apo alinunua????
Ali kiba akauze nguo kariakoo, hata huyo darasa mziki wake mzuri, ila haufiki hata chalinze
Ahaha! Ngoja waje wale team kunaniliu zianze povu hapa.Kijana wa kununua viewers timu ujanja ujanja amenunua na kupewa tuzo ya best collaboration of the year.
Nyimbo yake ya ujanja ujanja aliowashirikisha wajanja wajanja P square inayoitwa KIDOGO.
Waandaaji wa tuzo wamesema hawataki matusi kwa wasanii walioshindwa kwenda kwa wasanii walioshinda.
Pia wameenda mbali na kusema hawataki wasanii wa muziki mzuri maana unapendwa sana.
WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA
Ahaha team DimpozNaona wanaigeria wanashindana kutafuta kiki kupitia mashabiki wa diamond na kuba kwa kuanzisha tuzo kila kukicha.
Hongera yake
Ahahaha umeua Mkuu!Diamond sasa punguza sifa ya kununua kila tunzo basi tupe nafasi na wengine tununue...maana kila tukijaribu kununua tunashindwa.... punguza ujanja ujanja....teh teh
Mbona fumbo zito?Kijana wa kununua viewers timu ujanja ujanja amenunua na kupewa tuzo ya best collaboration of the year.
Nyimbo yake ya ujanja ujanja aliowashirikisha wajanja wajanja P square inayoitwa KIDOGO.
Waandaaji wa tuzo wamesema hawataki matusi kwa wasanii walioshindwa kwenda kwa wasanii walioshinda.
Pia wameenda mbali na kusema hawataki wasanii wa muziki mzuri maana unapendwa sana.
WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA
Mkuu umeongea ukweli Mond anasahili pongeziSijawahi ONA watu ambao hawajielewi na kutojiamini kama sisi watz, our fellow countrymen kushinda tuzo kubwa ugenini tunaanza kupaka na visimu vyetu vya mchina, HIVI KUNA KITU KWA SASA KINATUTANGAZA KAMA IDENTITY NJE YA MIPAKA KAMA DIAMOND JAMANI EMBU TUACHE WIVU WA KIJINGA TUJIFUNZE MAZURI KWAKE MABAYA TUMKEMEE KHAA