Diamond ashinda tuzo za AELA awards 2016 nchini Nigeria

Diamond ashinda tuzo za AELA awards 2016 nchini Nigeria

Nasema nawe mwaka jana ilichukua tuzo kama wimbo bora wa mwaka Africa
Nitampata wapi ushawahi kuchukua tuzo
Je utanipenda imechukua tuzo kma wimbo bora wa afro pop africa

Au na apo alinunua????
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaa hawachonoki kila anaeuliza anajibiwa na mifano zaid ya miwili harudi tena kuuliza, wao waulize swali moja tu, wataje show moja aliyoifanya kiba nje ya Tz tofauti na mombasa na zile za kusindikiza wenzie wakipokea tuzo hawajibu kabisa
 
Kijana wa kununua viewers timu ujanja ujanja amenunua na kupewa tuzo ya best collaboration of the year.

Nyimbo yake ya ujanja ujanja aliowashirikisha wajanja wajanja P square inayoitwa KIDOGO.

Waandaaji wa tuzo wamesema hawataki matusi kwa wasanii walioshindwa kwenda kwa wasanii walioshinda.

Pia wameenda mbali na kusema hawataki wasanii wa muziki mzuri maana unapendwa sana.

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA
Ahaha! Ngoja waje wale team kunaniliu zianze povu hapa.
 
Kijana wa kununua viewers timu ujanja ujanja amenunua na kupewa tuzo ya best collaboration of the year.

Nyimbo yake ya ujanja ujanja aliowashirikisha wajanja wajanja P square inayoitwa KIDOGO.

Waandaaji wa tuzo wamesema hawataki matusi kwa wasanii walioshindwa kwenda kwa wasanii walioshinda.

Pia wameenda mbali na kusema hawataki wasanii wa muziki mzuri maana unapendwa sana.

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA
Mbona fumbo zito?
 
Sijawahi ONA watu ambao hawajielewi na kutojiamini kama sisi watz, our fellow countrymen kushinda tuzo kubwa ugenini tunaanza kupaka na visimu vyetu vya mchina, HIVI KUNA KITU KWA SASA KINATUTANGAZA KAMA IDENTITY NJE YA MIPAKA KAMA DIAMOND JAMANI EMBU TUACHE WIVU WA KIJINGA TUJIFUNZE MAZURI KWAKE MABAYA TUMKEMEE KHAA
Mkuu umeongea ukweli Mond anasahili pongezi
 
Back
Top Bottom