Diamond ashindwa kulipia Plate Number

Hapana mkuu, tungeshachinjana zamani, inahitaji moyo mgumu kuvumilia upuuzi kama ule wa Dakta Tulia. Ni bora watu wapotezee tu siasa hizi uchwara ili waongeze hata uhai wao.
Uneongea my mind!! Ukichukulia siriaz siasa za bongo ni mwanzo wa kufa kwa kiungulia... Maana walioshika kwenye mpini wanakera mpaka mtu unaweza kulia machozi
 
Naona amefanya sawa tu,kusoma alama za nyakati muhimu sio kulazimisha mambo tu kisa yeye ni msanii..!
 

Huu upeo wako una uhusiano wowote na LOWASA??
 
Watu wengine kujishaua tu kuwafuatilia mastaa utafikiri wanakufahamu na huo ushauri wako dada sogeza mbele maana wewe kila ukileta uzi unamshauri diamond ama unapinga kile akifanyacho matumizi ya simu sio hayo tu yapo mengi ila mastaa achana nao tafuta wa saizi yako ndo muwe mnashauriana
 
So what ?

Alizipata kwa jasho lake. Wewe ni nani tu mpaka
Uyaone hayo matumizi mabaya? Hata akitaka kutawaza kwa kutumia fedha shida iko wapi ?

Fedha Zake afanye atakalo ni ZAKE Si ZAKO.
[emoji173] [emoji817] %[emoji7] -my best kwa kumpa ukweli wake . Ujue kuna mijitu ina
Roho mbaya sana, mwenzao akifanikiwa badala wajiulize alifanikiwa vp sasa ndo wanafanya kila njia ya kumshusha.
 
[emoji173] [emoji817] %[emoji7] -my best kwa kumpa ukweli wake . Ujue kuna mijitu ina
Roho mbaya sana, mwenzao akifanikiwa badala wajiulize alifanikiwa vp sasa ndo wanafanya kila njia ya kumshusha.
Dahhh kazi nzito afanye Jamaa wengine wamsaidie kupangilia fedha la jasho lake....... . Lol😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…