Diamond ashindwa kulipia Plate Number

Diamond ashindwa kulipia Plate Number

Jane Lowassa naheshimu sana maoni yako lakini hapa umekurupuka kidogo mwanangu!! Kama kuna kipindi ambacho huyo dogo anaogelea kwenye mvua ya hela basi ni sasa.. Haijalishi ni sababu gani zilizomfanya asitishe kutumia plate number ya jina lake lakini sababu hiyo sio kwasababu hana uwezo wa kuilipia..
Nimepitia website ya Millard Ayo kaandika "anakosa uhuru wa kutembea na gari lake,akipita sehemu watu wanajua ni Diamond kapita"
 
namkae mkijua milion 5 ilikuwa inalipiwa kwa miaka mitatu sasa hii milion 10 unalipiwa kwa mwaka
 
Wakuu, poleni na mfungo.

Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.

Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.

Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.

"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.

My advice: Raia wema tunapotoa ushauri juu ya jambo lolote yapaswa tusikilizwe na siyo kuchukuliwa poa.
JPM nouuum
 
namkae mkijua milion 5 ilikuwa inalipiwa kwa miaka mitatu sasa hii milion 10 unalipiwa kwa mwaka

Sio issue kakuambia ni kero , a nashindwa kujiiba halafu hizo mil 10 no Kwa miaka mitatu mama
 
So what ?

Alizipata kwa jasho lake. Wewe ni nani tu mpaka
Uyaone hayo matumizi mabaya? Hata akitaka kutawaza kwa kutumia fedha shida iko wapi ?

Fedha Zake afanye atakalo ni ZAKE Si ZAKO.
hakuna mtu mwenye fedha zake, fedha zote ni za serikali
 
Sio issue kakuambia ni kero , a nashindwa kujiiba halafu hizo mil 10 no Kwa miaka mitatu mama
Ina maana hana gari nyingingine kwa ajili ya faragha zake?Au ndo analo hilo moja tu?
 
Sema kwa sasa hela bado ipo ila hataki tena. Ni kujichora tu.

Sijui Mheshimiwa wangu aliyehonga ile plate number itakuwaje

Tena ilitakuwa walipie kila nwaka ili tuheshimiane.
 
Mtu anaacha mambo ya msingi ila yuko tayari kugharamia na kufatilia trends za diamond. Hata wasanii wa mbele hushangaa sana fans wakibongo like they take entertainment things way too seriously. Mfano ni T.I alivyokuja bongo fiesta, alisema hvyo hvyo.

Nilishangaa sanaa siku moja mbele nikipiga story za msanii mmoja maarufu wa mbele na watu flan nd they were like...suprised to what im saying. Ndio unakuta wanamsikia sikia ila its that they just don't bother or have the time following toe to toe on the artist's issues. Mpaka ufikie such a level basi ni msanii mzito kweli kweli.
 
Kwa sasa Mpango kakurupuka kupandisha hio bei...kama kusudio ni kupata zaidi hali ilivo..kila mmoja atarudi kwenye Tz number....hivyo huu sawa kusema amezifuta hizi plates number
 
Acha kufuatilia watu, diamond katoa sababu nzuri tu zaidi ya huo umbea uloleta hapa,
 
kuacha kunywa bia haimaanisha mtu kafirisika labda kabadili mfumo wa maisha afanyr yaliyo ya maana zaidi.
same applied to plate number na diamond
 
jane hukusikiliza vzr alisema kwanza halitumiag lile gar lenye jina platnumz mara nying coz anakuwa hayupo huru akipita tu wat wanajua dimond kapita so ni kama hela alikuwa analipia bure tu sometime hawez kwenda sehem na gar lenye jina lake so vile naw kulipia ni mil10 ameona hainahaja ya kulipia bora iyo pesa apeleke sehem nyingine nenda yutube millard ayo
 
Sio mbaya kupunguza matumizi yasio na lazima maana kama pesa ni yake na sioni km kuna tatizo kubadili matumizi nayo.
 
Wakuu, poleni na mfungo.

Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.

Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.

Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.

"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.

My advice: Raia wema tunapotoa ushauri juu ya jambo lolote yapaswa tusikilizwe na siyo kuchukuliwa poa.
Aacha utani ametoka kutoa msaada wa madawati 6000 juzi tu eti leo kafulia
 
Mtu anaacha mambo ya msingi ila yuko tayari kugharamia na kufatilia trends za diamond. Hata wasanii wa mbele hushangaa sana fans wakibongo like they take entertainment things way too seriously. Mfano ni T.I alivyokuja bongo fiesta, alisema hvyo hvyo.

Nilishangaa sanaa siku moja mbele nikipiga story za msanii mmoja maarufu wa mbele na watu flan nd they were like...suprised to what im saying. Ndio unakuta wanamsikia sikia ila its that they just don't bother or have the time following toe to toe on the artist's issues. Mpaka ufikie such a level basi ni msanii mzito kweli kweli.

Some feed off entertainment thangs, so it's only fair that they take it seriously.

Nimependa hapo ulipoweka jina la hiyo msanii wa mbele kapuni as if akisoma ume-reveal kuwa mlipiga story atakuwa disappointed in you. Ila ni wapi dunia hii wasipofuatilia maisha ya watu maarufu??
 
The way Diamond anavyo chukuliwa serious na watanzania
ingekuwa hivyo hivyo na siasa za nchi hii tungefika mbali sana
Mkuu Watanzania wangapi wanamchukulia 'serious' Diamond kiasi cha wewe kutoa kauli hii?
 
Back
Top Bottom