Diamond ataka siku ya ndoa yake iwe sikukuu ya kitaifa

Diamond ataka siku ya ndoa yake iwe sikukuu ya kitaifa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz, inadaiwa kuwa amependekeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitambua siku atakayo funga ndoa na mpenzi wake Tanasha raia wa Kenya na kuifanya kuwa sikukuu ya kitaaifa ‘’Public Holiday”, ikiwa na maana kwamba siku hiyo watu wasifanye kazi wala wanafunzi wasiende mashuleni.

Taarifa hizo zimeenea kwenye mitandao mbalimbali nchini Kenya na kujadiliwa na watu wengi, ambapo mtandao wa Ghafla umeandika kuwa Diamond amehairisha kufunga ndoa na Tanasha siku ya wapendanao kama alivyokuwa amepanga awali kwa kuwa siku hiyo mama wa mpenzi wake huyo atakuwa kazini, huku akiitaka serikari ya Tanzania kutizama uwezekano wa kufanya siku ya ndoa yake kuwa Sikukuu.

“Sababu ya kwanini imenibidi kubadili tarehe ya ndoa ni kwasababu mama yeke Tanasha atakuwa kazini siku ya Valenine’s Day. Sitaki iwe sherehe ndogo. Ikiwezekana ningependa serikali ya Tanzania kufikiria kuwa sikukuu ya kitaifa’’ umekaririwa mtandao wa Howwe Buz

Source: Times FM
Mpendeni venye yuko he's prolly the biggest export and the.biggest artist You guys will ever have,so kusema kweli kama anataka iwe holiday mbona msimpee,Kusema kweli ame work hard sana kufika penye ako si rahisi hata ali kiba ali try akalemewa.so aliwaake proud now its your turn as a country to make him proud,just give him that holiday hatakaa mutaiita Diamond day atleast akuwe forever remembered

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Kenya mirungi na mabomu ya alshaabab imewavuruga ,ona sasa ni utumbo gani huu umeandika
 
Huko Kenya mirungi na mabomu ya alshaabab imewavuruga ,ona sasa ni utumbo gani huu umeandika
Usikuwe mjinga if they attack Kenya they literally attack east africa coz kenya ndo imebeba East africa na ndo maana juzi kwa meeting ya EAC walisema wata ungana kufight terror,ww mjinga sijui kuna methali husema ukiona kichwa cha mwenzako kina nyolewa tia chako maji,tafakari hayo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeh
Ni Bikira anamuoa Bikira?

Watu tupo busy na ya show ya Davido wiki hii.. yeye ni wanawake tu.. wanawake tu.. kituko

Analazimisha apendwe na huyo nyapu mpya.. ila imebumaaaaa.

Aache kutafuta kiki kwa kuongea upupwu..

Kuimba siku hizi ni kuvizia za wenzake naye aimbe.. hataki kuwaacha wapete wenyewe..

Abadilike shaaaaa
Zari ameendelea na yake na anapendwa zaidi na zaidi.. rozi jeusi lile lina nguvu haswaa
Umaarufu wa Diamond umeshuka sana,sana. Sijajua tatizo liko wapi.

Hata kuimba sijui huwa anaimba nini tena.
 
Umaarufu wa Diamond umeshuka sana,sana. Sijajua tatizo liko wapi.

Hata kuimba sijui huwa anaimba nini tena.

Anaimba maneno kama haya pia
eeeeh

Oya wind your waist Njoo nipatie Commando Nikupe cha mkwesi Kwa miuno ya taekwondo Asa chekele Mwendo wa kandanda Ndani ya makwanda Sa nisongeze Leta msambwanda

Oya fiti kalikiti ti katoto hakashikiki kwenye bilingiti ti Huvunjaja na kiti (oya!)

Oooh sa iweke Ah iweke iweke… Ah iweke Ipitishe kwa chini Ah iweke iweke… Ah iweke Miendo ya kazi kazini Ah iweke iweke… Ah iweke Hii ile ndindindii Ah iweke iweke… Ah iweke Ngoja shake it ivoo Ah iweke iweke… Ah iweke Twende shaku kidogo Ah iweke iweke… Ah iweke Chuma magimbimbi Ah iweke iweke… Ah iweke

[CHORUS] Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi
 
Back
Top Bottom