Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Ndo ndoa za kiislamu hizo ni za mkataba

Unafunga ndoa leo siku 30 Ramadan ikiisha mnaachana

Hapo inabidi ukae vizur tu na wazee watukufu wa kiislamu wazee wa kuhalalisha ndoa na kuhalalisha kuachana

Very simple
 
Na ka hamisa kamekaa pale pembeni masikini.....😁 Nifah rafiki ako kafata matumizi ya mtoto nini hapo ukumbini 😂😂😂

Kwahiyo zuchu "mke uji" daaaah
Hamisa wangu kaalikwa kwa heshima na CCM baby girl, huyo dead beat father hatuna muda naye.

Kwani shoga hujaona Zuchu kanuna? Labda ndio anabembelezwa maana wote tunajua anachokitaka na ndio bwana kampatia.
 
Back
Top Bottom