Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

Ndo ndoa za kiislamu hizo ni za mkataba

Unafunga ndoa leo siku 30 Ramadan ikiisha mnaachana

Hapo inabidi ukae vizur tu na wazee watukufu wa kiislamu wazee wa kuhalalisha ndoa na kuhalalisha kuachana

Very simple
Na hizo ndio ndoa bora kwa ulimwengu wa sasa.
 
Hapo wanamridhisha tu huyo anayeuliza ili aondoke
 
Ukiona hivyo ujuwe zuchu tayari mjamzito,,wanataka wahalalishe haramu.
 
Kile kibinti king'ang'anizi kama luba. kuna mademu anakuganda kiasi anaamua akuloge kabisa. Mtu ushaona hana moango ye bado yupo kujiliza kwenye mutandano na mamake mwanga si waroge moaka dogo alainike?
 
Back
Top Bottom