Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

1737262818900.jpg
 
Shoga kwani hujaona yanayoendelea kati yake na Juma ambayo yalianzia siku waliyomuhoji Momo?

Ndio chanzo cha yote haya, pitia snap za Zuchu kanuna hana time na Dai ndio anabembelezwa hivyo.
Siku hizi napitwa sana na habari za udaku, yani nmebaki jf tu na whatsapp nkiingia insta sekunde tu bando bye.....

Hivi nifa na kile kiserengeti nao ndoa iliishiwa wapi? Bado wapo au ndo ilikufa kibudu nlikua naingia insta kwa machale sielelewi elewi
 
Timu kataa ndoa tunapingana na huu mkutano wa Dodoma, naona CCM ina agenda na kutuibia wanachama.
 
Ndo ndoa za kiislamu hizo ni za mkataba

Unafunga ndoa leo siku 30 Ramadan ikiisha mnaachana

Hapo inabidi ukae vizur tu na wazee watukufu wa kiislamu wazee wa kuhalalisha ndoa na kuhalalisha kuachana

Very simple
Ili mradi tu muwachokoze waislam

Kama nyinyi mnahalalalisha ndoa na kutengana sawa ila masheikh wanasimamia /kufungisha ndoa

Labda hao miungu yenu inayowaamrisha muishi milele hata kama mapenzi yashaisha
 
Ndo ndoa za kiislamu hizo ni za mkataba

Unafunga ndoa leo siku 30 Ramadan ikiisha mnaachana

Hapo inabidi ukae vizur tu na wazee watukufu wa kiislamu wazee wa kuhalalisha ndoa na kuhalalisha kuachana

Very simple
Waislam na Christian hawachekani Sasa ... Ndoa zenye nafuu Sasa hivi ni za waabudu mashetani wao wanaelewaa maana ya ndoa na athari zake..
 
Daimond na zuchu narudia Tena kuwaomba tafadhali sana huo wimbo mnaotaka kuutoa kabla ya Ramadhan usiwe amapiano, tafadhali sana tumechoka kelele za mabati
 
Fantana je!!!
Diamond hataoa yoyote huyo
Akioa ni Zari tu
 
At least ataonja ndoa na FLAT take😂😂😂
Mkuu temea chini!
'Kama hujafa hujaumbika': namaanisha ivii: kama aujapata flat screen na ushakaririshwa 'chogo' yakubidi utubu kwa sauti.

99.9% huwa ni mali safi.

Sasa utapompata utakuja kubadili uzi, au utabaki na msimamo wako?
 
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.

Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa hatanii yupo siriazi

Ndoa tunayo hatuna?
View attachment 3206564
Ccm Kwakweli inatukwaza sana kuweka mbele nikitua type ya mwijaku

Enzi za mwalimu usingekuta huu ubwege
 
Back
Top Bottom