Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Huyu si ndiye amesema anakwenda mahakamani kwa manyanyaso aliyofanyiwa au nawachanganyaStaa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM
Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa hatanii yupo siriazi
Ndoa tunayo hatuna?
View attachment 3206564
Kadhalika ndoa inaweza kufungwa Bibi harusi akiwa Bukoba na Bwn harusi akiwa Mtwara anaendelea na shughuli zakeNdo ndoa za kiislamu hizo ni za mkataba
Unafunga ndoa leo siku 30 Ramadan ikiisha mnaachana
Hafimaye...!!!?Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM
Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa hatanii yupo siriazi
Ndoa tunayo hatuna?
View attachment 3206564
ante Khadija kopa kwa taarifaStaa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM
Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa hatanii yupo siriazi
Ndoa tunayo hatuna?
View attachment 3206564
Haoi huyo, mama ake ana wivu nae utadhani mme.....haoi atakaa tu na mama ake.At least ataonja ndoa na FLAT takeπππ
Kwahiyo wameenda kutaamaniana kwenye mkutano wa chamaStaa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM
Sijawahi kuamini chochote kinachotoka mdomoni kwa Diamond, Zuchu akiolewa na mimi naolewa π€£π€£π€£
Hamisa wangu kaalikwa kwa heshima na CCM baby girl, huyo dead beat father hatuna muda naye.Na ka hamisa kamekaa pale pembeni masikini.....π Nifah rafiki ako kafata matumizi ya mtoto nini hapo ukumbini πππ
Kwahiyo zuchu "mke uji" daaaah
Kanuna anataka kuolewa? Daaah ataweza timbwili za ile familia, au wamezeeka wamekuwa watu πHamisa wangu kaalikwa kwa heshima na CCM baby girl, huyo dead beat father hatuna muda naye.
Kwani shoga hujaona Zuchu kanuna? Labda ndio anabembelezwa maana wote tunajua anachokitaka na ndio bwana kampatia.