Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIMEKUJIBU KULINGANA NA JIBU ULILOTOA KWENYE HIYO QUOTE,SIJAJIBU KWENYE POST YA KWANZA.......ELEWA UMETOA MAELEZO MENGI YA UFRONT LAKINI UBACK HAUJATOA KWENYE HIYO QUOTE.Mzee umevamia mada alafu hujui mada ilikua inahusu nn? sio kila sehemu unatia pua, rudi tuliko anzia sio unakuja kurukia jambo katikat bila uelewa n nn kinajadiliwa
Tanzania hatuna chaneli hata moja ya HD, king'amuzi kuwa HD haimaanishi chaneli nazo zitakuwa HD......Dstv yenyewe ina baadhi tu ya chaneli za HD.Dstv ni full HD
Mkuu,kama wewe sio mchawi basi ni wazi kabisa unampango wa kuwa mchawi..!Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Bila shaka hii picha imepigwa wakati wa tendo pendwa kipindi cha half time, chumba giza ila TV iko on................ wakubwa tushaelewa ya behind the scene
Ukweli umekuuma, na bado mchawi weeeeMkuu,kama wewe sio mchawi basi ni wazi kabisa unampango wa kuwa mchawi..!
Haiondoi umiliki wa Diamond pia..!Haindoi UMILIKI WA KUSAGA KWA WASAFI HATA DIMONDI AKIWEKWA FRONT.
Ahahaaaah...Ukweli umekuuma, na bado mchawi weeee
Full HD wapi bado wapo na HD mbona.Dstv ni full HD
Ili apate return mapema aanzishe na bishara ya magazeti. Hiyo itwahi kumlipa kuliko hii ya tv na radio.
hahahaBila shaka hii picha imepigwa wakati wa tendo pendwa kipindi cha half time, chumba giza ila TV iko on................ wakubwa tushaelewa ya behind the scene
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu imebidi nimtafute huyo mtu daah nimeona picha yake hatari sana halafu cha ajabu hivi viumbe havina huruma kabisa hawajui tumetoka kwenye Kwaresma takatifu!!
Kama anavyouza karanga!Au biashara ya maandazi.
Mkuu tuoneane huruma mbavu au vp bhana maana nimejikuta ghafla naangua kicheko mpaka basi.Mimi nipo mtaa wa mabatini kijiji cha mnkola kata ya ibihwa wilaya ya bahi mkoa wa Dodoma. Huku mambo ya TV na ving'amuzi bado hayajafika. Vipi redio wamewasha?