Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Hiyo hapo attach ya screenshot...km una decoder search upya utaiona live
IMG_20180401_194139_987.JPG
 
Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.

Nawatabiri makubwa zaidi!

HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Tunawaomba picha zenye maadili kwa taifa
 
Back
Top Bottom