Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Na kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Waaimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiijitangaza
Kwan Clouds unadhan Joseph anamilik peke yake?? Kuna kina KUSAGA 5 wako pale wote na share

Anae onekana mbele siku zote FOUNDER, ambae anakua ni sura ya kampun

Mfano Jack Ma wa Alibaba, sina kumbukumbu vizuri ila umilik wake ndani ya kampuni ni chini ya 30%, mshindan wake huko kwao Tancent ( Pony Ma=mmilik) nae hvyo hvyo

UBER unaijua, kaangalie mwanzilishi n nani na aliekaa pale juu saiv n nani,

Wenzetu hua mambo yao yanapiga hatua kwakua na STRONG INSTITUTIONS , unakuja na wazo, likimake sense kwa watu (wawekezaji/Investors) wanatia pesa wanamilik hisa ndani ya kampun, wewe mwanzilish unabak kama Face of the company, na utatambulika kama founder, ila humo ndan kuna mtu anaweza kua na share nying kuliko wewe hata voting power vile vile

Nenda kasome samsun ilivyo

Steve Jobs anasifika kama mwanzilishi wa Apple, je wajua kuna wakati alifukuzwa kabisa kwenye board?? ikambidi akaanzishe kitu kingine ambacho baadae kilikuja mrudisha kwenye board of directors ??

Wenzetu wanafanya hvyo, leo mkurugenzi/mwanzilish/mmilik akafa, company hua zinabak zinaendeleza operations

Sasa hili sie kinamadange tunapata nafasi ya kulijua, badala tupate cha kujifunza tunaona NONGWA, sijui wivu, tukabatizwe kwa maji mangi walai
 
Hata Dk. Shika ni mwanzilishi lakini sasa ameacha kampuni yake Russian inajiendesha yenyewe na watu wengine
 
QUOTE="Chinga One, post: 26486630, member: 165688"]Namuon Abdul Kiba anatamba pale kwenye luninga la kimataifa la Wasafi na song lake Ayaya....safi sana[/QUOTE]
Hapo sasa nimewaelewa.......hongera zao Sanaa.Mondi kweli mfanyabiashara
 
Habari za bashite zitatoka tve kuelekea huko,itakua tv ya ccm
 
Back
Top Bottom