Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa mashabiki huwa mnampoteza sana huyu jamaa yenuKiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
Labda waongeze fonts tu...lakini naona wako poa sanaWapunguze weusi umezid sana maandishi ya hayasomek vizur
Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio NasibuNaiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.
Nawatabiri makubwa zaidi!
HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Namuon Abdul Kiba anatamba pale kwenye luninga la kimataifa la Wasafi na song lake Ayaya....safi sanaNaona song la kassim mganga kwa mbali
Likipigwa la kiba mnistue waungwana
Huyo Kusaga unamjua wewe, ktk muonekano CEO WASAFI ni Diamond full stopHongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Sio lazima CEO awe mmiliki, jielimisheHuyo Kusaga unamjua wewe, ktk muonekano CEO WASAFI ni Diamond full stop
Bill Gates mwenyewe anamilik chini ya 4% ya Microsoft, Mack anamilik 28% Ya Facebook na hv karibun anampango wa kuuza zaid ya 10% means atakua na 18%, Jeff Benzo ana 20% na kidogo ya Amazon hv ndivyo kampuni zinaendeshwaHongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Na kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Wasimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiojitangazaBill Gates mwenyewe anamilik chini ya 4% ya Microsoft, Mack anamilik 28% Ya Facebook na hv karibun anampango wa kuuza zaid ya 10% means atakua na 18%, Jeff Benzo ana 20% na kidogo ya Amazon hv ndivyo kampuni zinaendeshwa
Unaposikia kitu kinaitwa KAMPUNI, tambuni kuna mengi sana nyuma ya pazia ikiwa na SHARE HOLDER
Tulia basi mbona unataka kuharibu sherehee?Sio lazima CEO awe mmiliki, jielimishe
Ha ha haaaaKiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
Sherehe ya kusifia wenzako? Haya endelea nayoTulia basi mbona unataka kuharibu sherehee?
Dogo kajitahidi hata kuwepo tu hapo
Wako ktk majaribio hata ktk chanell wameandika test..Mbona haijazinduliwa? Maana nacho ni kiwanda
Unaonekana unawivu mkali sana, sijui na wewe uko Dubai!!!Sherehe ya kusifia wenzako? Haya endelea nayo
Hahaha mkuu kumbe wewe timu Kiba?Kiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!