Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Pic quality poor aisee hata subtittle haisomeki vzr
 
Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.

Nawatabiri makubwa zaidi!

HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
 
Bill Gates mwenyewe anamilik chini ya 4% ya Microsoft, Mack anamilik 28% Ya Facebook na hv karibun anampango wa kuuza zaid ya 10% means atakua na 18%, Jeff Benzo ana 20% na kidogo ya Amazon hv ndivyo kampuni zinaendeshwa

Unaposikia kitu kinaitwa KAMPUNI, tambuni kuna mengi sana nyuma ya pazia ikiwa na SHARE HOLDER
 
Na kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Wasimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiojitangaza
 
Back
Top Bottom