Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Mbona mimi siioni wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume mwenzio Mondi anasonga mbele wewe unabaki kupiga majungu...pole mkuu penda usipende ndiyo mondi keshasongaHongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Kwan Clouds unadhan Joseph anamilik peke yake?? Kuna kina KUSAGA 5 wako pale wote na shareNa kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Waaimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiijitangaza
Hapo kwenye Kiba futa andika KusagaKiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
Hapendi skendo, happen show off. Kiba TV coming soonKiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
Hata Dk. Shika ni mwanzilishi lakini sasa ameacha kampuni yake Russian inajiendesha yenyewe na watu wengineKwan Clouds unadhan Joseph anamilik peke yake?? Kuna kina KUSAGA 5 wako pale wote na share
Anae onekana mbele siku zote FOUNDER, ambae anakua ni sura ya kampun
Mfano Jack Ma wa Alibaba, sina kumbukumbu vizuri ila umilik wake ndani ya kampuni ni chini ya 30%, mshindan wake huko kwao Tancent ( Pony Ma=mmilik) nae hvyo hvyo
UBER unaijua, kaangalie mwanzilishi n nani na aliekaa pale juu saiv n nani,
Wenzetu hua mambo yao yanapiga hatua kwakua na STRONG INSTITUTIONS , unakuja na wazo, likimake sense kwa watu (wawekezaji/Investors) wanatia pesa wanamilik hisa ndani ya kampun, wewe mwanzilish unabak kama Face of the company, na utatambulika kama founder, ila humo ndan kuna mtu anaweza kua na share nying kuliko wewe hata voting power vile vile
Nenda kasome samsun ilivyo
Steve Jobs anasifika kama mwanzilishi wa Apple, je wajua kuna wakati alifukuzwa kabisa kwenye board?? ikambidi akaanzishe kitu kingine ambacho baadae kilikuja mrudisha kwenye board of directors ??
Wenzetu wanafanya hvyo, leo mkurugenzi/mwanzilish/mmilik akafa, company hua zinabak zinaendeleza operations
Sasa hili sie kinamadange tunapata nafasi ya kulijua, badala tupate cha kujifunza tunaona NONGWA, sijui wivu, tukabatizwe kwa maji mangi walai
Kiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
Thubuuutu!! Hiyo studio ya kupiga picha tu za mnato hana ije kuwa television?Hapendi skendo, happen show off. Kiba TV coming soon
Nadhani mnaiona Rock star 4000 inavyotisha
Sikukuu ya wajinga Leo. Don't be a foolMbn kwangu sioni au adi usachi
Mkuu ipo nenda auto searchAma kweli nimeamini nisiku ya wajinga duniani,nimesachi lakini hakuna kitu