Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Mzee umevamia mada alafu hujui mada ilikua inahusu nn? sio kila sehemu unatia pua, rudi tuliko anzia sio unakuja kurukia jambo katikat bila uelewa n nn kinajadiliwa
NIMEKUJIBU KULINGANA NA JIBU ULILOTOA KWENYE HIYO QUOTE,SIJAJIBU KWENYE POST YA KWANZA.......ELEWA UMETOA MAELEZO MENGI YA UFRONT LAKINI UBACK HAUJATOA KWENYE HIYO QUOTE.
 
Mimi nipo kijiji cha ibambasi mtaa wa nyasichoke kata ya buza wilaya ya Namtumbo mkoa wa kigoma hiyo channel haipo
 
Mkuu imebidi nimtafute huyo mtu daah nimeona picha yake hatari sana halafu cha ajabu hivi viumbe havina huruma kabisa hawajui tumetoka kwenye Kwaresma takatifu!!
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nipo mtaa wa mabatini kijiji cha mnkola kata ya ibihwa wilaya ya bahi mkoa wa Dodoma. Huku mambo ya TV na ving'amuzi bado hayajafika. Vipi redio wamewasha?
Mkuu tuoneane huruma mbavu au vp bhana maana nimejikuta ghafla naangua kicheko mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…