1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
cheza na setting mzee babaWapunguze weusi umezid sana maandishi ya hayasomek vizur
[emoji23]Kiba ana TV yake sema tu hapendi show off. Mxiiiiiiiu!!!
mzee baba lakini kwa uko iviii[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] toa pongeziHongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
mzee baba unaumia sanaaNa kama kuna wengi kwa nyuma wasioonekana huyu aliye mbele anayetajwa peke yake sio sahihi. Wasimuone Mond pekee wawaone na wa nyuma wasiojitangaza
hahahaa ndiyo mkuuKwan Clouds unadhan Joseph anamilik peke yake?? Kuna kina KUSAGA 5 wako pale wote na share
Anae onekana mbele siku zote FOUNDER, ambae anakua ni sura ya kampun
Mfano Jack Ma wa Alibaba, sina kumbukumbu vizuri ila umilik wake ndani ya kampuni ni chini ya 30%, mshindan wake huko kwao Tancent ( Pony Ma=mmilik) nae hvyo hvyo
UBER unaijua, kaangalie mwanzilishi n nani na aliekaa pale juu saiv n nani,
Wenzetu hua mambo yao yanapiga hatua kwakua na STRONG INSTITUTIONS , unakuja na wazo, likimake sense kwa watu (wawekezaji/Investors) wanatia pesa wanamilik hisa ndani ya kampun, wewe mwanzilish unabak kama Face of the company, na utatambulika kama founder, ila humo ndan kuna mtu anaweza kua na share nying kuliko wewe hata voting power vile vile
Nenda kasome samsun ilivyo
Steve Jobs anasifika kama mwanzilishi wa Apple, je wajua kuna wakati alifukuzwa kabisa kwenye board?? ikambidi akaanzishe kitu kingine ambacho baadae kilikuja mrudisha kwenye board of directors ??
Wenzetu wanafanya hvyo, leo mkurugenzi/mwanzilish/mmilik akafa, company hua zinabak zinaendeleza operations
Sasa hili sie kinamadange tunapata nafasi ya kulijua, badala tupate cha kujifunza tunaona NONGWA, sijui wivu, tukabatizwe kwa maji mangi walai
Unaweza kuhisi ni uongo lakini ukihisi vizuri kunaweza kuwa na kiukweli.Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Tofauti iliyopo ni kuwa hao uliowataja wao wenyewe HISA zao ni PUBLIC na zinafahamika na ni wasema kweli kuliko hawa wa KWETU wapenda KIKI, SIFA na DRAMA wanaona wakisema kweli mtawaona wamebuma. Wanataka watu wajue wana HISA 100% wakati hakuna ukweli wowoteBill Gates mwenyewe anamilik chini ya 4% ya Microsoft, Mack anamilik 28% Ya Facebook na hv karibun anampango wa kuuza zaid ya 10% means atakua na 18%, Jeff Benzo ana 20% na kidogo ya Amazon hv ndivyo kampuni zinaendeshwa
Unaposikia kitu kinaitwa KAMPUNI, tambuni kuna mengi sana nyuma ya pazia ikiwa na SHARE HOLDER
Bado wanatafuta kiberitiMimi nipo mtaa wa mabatini kijiji cha mnkola kata ya ibihwa wilaya ya bahi mkoa wa Dodoma. Huku mambo ya TV na ving'amuzi bado hayajafika. Vipi redio wamewasha?
Wewe kweli akili ndogo, Yani kusaga aiue Clouds Media kwa mikono yake mwenyewe!!?? Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG kwahiyo atapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, tusubiri VITA ya mafahari hawa.Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Mkuu una point...ila pia wasafi inaweza ikawa na mtu/watu wengine nyuma yake,ila diamond ni upfront kwa sababu ya brand yakeWewe kweli akili ndogo, Yani kusaga aiue Clouds Media kwa mikono yake mwenyewe!!?? Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG kwahiyo atapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, tusubiri VITA ya mafahari hawa.
Namuona luge kaangalia nilipogonga hodi mlangoni akawa anaangaika kuitoa Ila nikamuwahNaiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.
Nawatabiri makubwa zaidi!
HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG, kama ana hisa WASAFI hilo ni jambo la kusubiri maana ni ngumu sn kuamini kuwa Kiongozi wa kampuni A anaweza kununua hisa (kusupport) kampuni B ambao ni washindani wake kibiashara wenye lengo la kuishusha kampuni yake A. Nnachoamini Kusaga na Ruge watapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, hilo suala la Hisa ni jambo la kawaida sana kwa kampuni yoyote ile Duniani inayolenga mafanikio lkn kati ya Wana hisa tumtoe Kusaga maana huyu ni mshindani. Haya sasa tusubiri VITA ya mafahari (CMG vs WASAFI)Tofauti iliyopo ni kuwa hao uliowataja wao wenyewe HISA zao ni PUBLIC na zinafahamika na ni wasema kweli kuliko hawa wa KWETU wapenda KIKI, SIFA na DRAMA wanaona wakisema kweli mtawaona wamebuma. Wanataka watu wajue wana HISA 100% wakati hakuna ukweli wowote
Sahihi kabisa, kwa namna walivyoanza nalazimika kuamini kuwa kuna mikono ya watu (shareholders) nyuma ya uwekezaji huu. Nnapokataa mimi ni hapo kwa Kusaga. Hisia zangu zinanituma kuwa Mkuu wa Mzizima ana maslahi makubwa (amewekeza) kwenye Biashara hii. Tusubiri tutajua mengi.Mkuu una point...ila pia wasafi inaweza ikawa na mtu/watu wengine nyuma yake,ila diamond ni upfront kwa sababu ya brand yake
Azam Sports HD nayo vp?Tanzania hatuna chaneli hata moja ya HD, king'amuzi kuwa HD haimaanishi chaneli nazo zitakuwa HD......Dstv yenyewe ina baadhi tu ya chaneli za HD.
Hd gani ya vile??..Azam Sports HD nayo vp?