Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Kwan Clouds unadhan Joseph anamilik peke yake?? Kuna kina KUSAGA 5 wako pale wote na share

Anae onekana mbele siku zote FOUNDER, ambae anakua ni sura ya kampun

Mfano Jack Ma wa Alibaba, sina kumbukumbu vizuri ila umilik wake ndani ya kampuni ni chini ya 30%, mshindan wake huko kwao Tancent ( Pony Ma=mmilik) nae hvyo hvyo

UBER unaijua, kaangalie mwanzilishi n nani na aliekaa pale juu saiv n nani,

Wenzetu hua mambo yao yanapiga hatua kwakua na STRONG INSTITUTIONS , unakuja na wazo, likimake sense kwa watu (wawekezaji/Investors) wanatia pesa wanamilik hisa ndani ya kampun, wewe mwanzilish unabak kama Face of the company, na utatambulika kama founder, ila humo ndan kuna mtu anaweza kua na share nying kuliko wewe hata voting power vile vile

Nenda kasome samsun ilivyo

Steve Jobs anasifika kama mwanzilishi wa Apple, je wajua kuna wakati alifukuzwa kabisa kwenye board?? ikambidi akaanzishe kitu kingine ambacho baadae kilikuja mrudisha kwenye board of directors ??

Wenzetu wanafanya hvyo, leo mkurugenzi/mwanzilish/mmilik akafa, company hua zinabak zinaendeleza operations

Sasa hili sie kinamadange tunapata nafasi ya kulijua, badala tupate cha kujifunza tunaona NONGWA, sijui wivu, tukabatizwe kwa maji mangi walai
hahahaa ndiyo mkuu
 
Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Unaweza kuhisi ni uongo lakini ukihisi vizuri kunaweza kuwa na kiukweli.

Kuna JOTI SNACKS
Kuna DIAMOND KARANGA

Licha ya biff lakini bado CLOUDS wanatangaza DIAMOND KARANGA, Kusaga yuko karibu na MABOSS wa DIAMOND KARANGA Kuliko DIAMOND.

, Je, kama DIAMOND KARANGA ni ya DIAMOND licha ya kuwa ilikuwepo kabla haijanasibishwa na DIAMOND na JOTI SNACKS ni za JOTI ???

- Isn't just a MARKETING STRATEGY.

- Kuhusu Kusaga kuwa na mkono hapo wala siyo jambo la ajabu maana jamaa anaamini biashara ya TV/RADIO kuliko kawaida na ndio maana anafungua viredio vipya kila siku
 
Bill Gates mwenyewe anamilik chini ya 4% ya Microsoft, Mack anamilik 28% Ya Facebook na hv karibun anampango wa kuuza zaid ya 10% means atakua na 18%, Jeff Benzo ana 20% na kidogo ya Amazon hv ndivyo kampuni zinaendeshwa

Unaposikia kitu kinaitwa KAMPUNI, tambuni kuna mengi sana nyuma ya pazia ikiwa na SHARE HOLDER
Tofauti iliyopo ni kuwa hao uliowataja wao wenyewe HISA zao ni PUBLIC na zinafahamika na ni wasema kweli kuliko hawa wa KWETU wapenda KIKI, SIFA na DRAMA wanaona wakisema kweli mtawaona wamebuma. Wanataka watu wajue wana HISA 100% wakati hakuna ukweli wowote
 
Hongera ziende kwa Joseph Kusaga maana ndio MWENYE WASAFI TV na RADIO wala sio Nasibu
Wewe kweli akili ndogo, Yani kusaga aiue Clouds Media kwa mikono yake mwenyewe!!?? Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG kwahiyo atapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, tusubiri VITA ya mafahari hawa.
 
Mkuu una point...ila pia wasafi inaweza ikawa na mtu/watu wengine nyuma yake,ila diamond ni upfront kwa sababu ya brand yake
 
Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.

Nawatabiri makubwa zaidi!

HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Namuona luge kaangalia nilipogonga hodi mlangoni akawa anaangaika kuitoa Ila nikamuwah
 
Tofauti iliyopo ni kuwa hao uliowataja wao wenyewe HISA zao ni PUBLIC na zinafahamika na ni wasema kweli kuliko hawa wa KWETU wapenda KIKI, SIFA na DRAMA wanaona wakisema kweli mtawaona wamebuma. Wanataka watu wajue wana HISA 100% wakati hakuna ukweli wowote
Kusaga ni Founder na C.E.O wa CMG, kama ana hisa WASAFI hilo ni jambo la kusubiri maana ni ngumu sn kuamini kuwa Kiongozi wa kampuni A anaweza kununua hisa (kusupport) kampuni B ambao ni washindani wake kibiashara wenye lengo la kuishusha kampuni yake A. Nnachoamini Kusaga na Ruge watapambana kwa kila namna kuisimamisha Clouds na siyo kuiangusha. Tukubaliane tu na tuweke chuki pembeni; WASAFI TV NI MALI YA DIAMOND na clouds watapambana sana kuishusha, hilo suala la Hisa ni jambo la kawaida sana kwa kampuni yoyote ile Duniani inayolenga mafanikio lkn kati ya Wana hisa tumtoe Kusaga maana huyu ni mshindani. Haya sasa tusubiri VITA ya mafahari (CMG vs WASAFI)
 
Mkuu una point...ila pia wasafi inaweza ikawa na mtu/watu wengine nyuma yake,ila diamond ni upfront kwa sababu ya brand yake
Sahihi kabisa, kwa namna walivyoanza nalazimika kuamini kuwa kuna mikono ya watu (shareholders) nyuma ya uwekezaji huu. Nnapokataa mimi ni hapo kwa Kusaga. Hisia zangu zinanituma kuwa Mkuu wa Mzizima ana maslahi makubwa (amewekeza) kwenye Biashara hii. Tusubiri tutajua mengi.
 
Back
Top Bottom