Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Hongera zao naona picha zipo vizuri!tunasubir sasa ubunifu wa kwenye vipindi vyao..!kila lakheri
 
We vipi tena
 
Ukitaka kujua huyu dogo Chibu sio mbinafsi yan zinapigwa ngoma za watu wengine tuu yeye ngoma zake sio kivile ila abdul kiba ngoma karibia 5 tena mfululizo zinagongwa....
 
Tanzania hatuna chaneli hata moja ya HD, king'amuzi kuwa HD haimaanishi chaneli nazo zitakuwa HD......Dstv yenyewe ina baadhi tu ya chaneli za HD.
Azam Sports HD, hii ni HD haswaa
 
Kama ni kweli Karanga na Perfume sio vyake basi hata hii TV siamini kwamba ni ya kwake. Ila kama ni yake basi nampongeza sana!
 
Wale wa team kiba,nafikri sasa hivi wanatafuta sehemu ya kujificha,kama ndezi,
Niriwaambia Mond ni noma
 
Umeseman quality na picha imekaa vizuri ni HD yani 720p au Full HD yani 1080p? Au 4k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…