Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Hongera zao naona picha zipo vizuri!tunasubir sasa ubunifu wa kwenye vipindi vyao..!kila lakheri
 
Tofauti iliyopo ni kuwa hao uliowataja wao wenyewe HISA zao ni PUBLIC na zinafahamika na ni wasema kweli kuliko hawa wa KWETU wapenda KIKI, SIFA na DRAMA wanaona wakisema kweli mtawaona wamebuma. Wanataka watu wajue wana HISA 100% wakati hakuna ukweli wowote
We vipi tena
 
Rais wa WCB, Diamond Platnumz ametangaza habari njema kwa watanzania hasa hasa kwa wadau wa tasnia ya habari kwamba anatarajia kufungua Wasafi FM na Wasafi TV
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Waka’ akiwa amemshirikisha msanii wa muziki wa kufoka kutoka Marekani, Rick Ross, alitoa taarifa ya ujio wa redio hiyo na TV jana kupitia kipindi cha [HASHTAG]#10over10[/HASHTAG] cha Citizen Tv Kenya.
DSzqb81X4AAwz65.jpg

Hata hivyo kabla ya jana ku confirm ujio huo wa redio na Tv lakini pia Diamond Platnumz kupitia twitter yake Disemba 30 mwaka 2017 alitoa taarifa hio lakini muda mfupi baadae aliifuta taarifa hiyo.
Screen-Shot-2018-01-06-at-12.36.16.png
Ukitaka kujua huyu dogo Chibu sio mbinafsi yan zinapigwa ngoma za watu wengine tuu yeye ngoma zake sio kivile ila abdul kiba ngoma karibia 5 tena mfululizo zinagongwa....
 
Tanzania hatuna chaneli hata moja ya HD, king'amuzi kuwa HD haimaanishi chaneli nazo zitakuwa HD......Dstv yenyewe ina baadhi tu ya chaneli za HD.
Azam Sports HD, hii ni HD haswaa
 
Kama ni kweli Karanga na Perfume sio vyake basi hata hii TV siamini kwamba ni ya kwake. Ila kama ni yake basi nampongeza sana!
 
Wale wa team kiba,nafikri sasa hivi wanatafuta sehemu ya kujificha,kama ndezi,
Niriwaambia Mond ni noma
 
View attachment 731445
Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122 ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.

Mmechagua vyema kuweka katika decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.

Nawatabiri makubwa zaidi!

HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!
Umeseman quality na picha imekaa vizuri ni HD yani 720p au Full HD yani 1080p? Au 4k?
 
Back
Top Bottom