chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,645
Poa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu
Haha zuku tena mkuu. Hamia uwanja wa nyumbani AzamTVwaje na ZUKU
Mkuu una point...ila pia wasafi inaweza ikawa na mtu/watu wengine nyuma yake,ila diamond ni upfront kwa sababu ya brand yake
kwann ?Hongera sana ila hizo pesa bora afungue kiwanda cha maji au juice au biscuits na pipi
Hiyo inabid ufanye wwIli apate return mapema aanzishe na bishara ya magazeti. Hiyo itwahi kumlipa kuliko hii ya tv na radio.
We vipi tenaTofauti iliyopo ni kuwa hao uliowataja wao wenyewe HISA zao ni PUBLIC na zinafahamika na ni wasema kweli kuliko hawa wa KWETU wapenda KIKI, SIFA na DRAMA wanaona wakisema kweli mtawaona wamebuma. Wanataka watu wajue wana HISA 100% wakati hakuna ukweli wowote
Ukitaka kujua huyu dogo Chibu sio mbinafsi yan zinapigwa ngoma za watu wengine tuu yeye ngoma zake sio kivile ila abdul kiba ngoma karibia 5 tena mfululizo zinagongwa....Rais wa WCB, Diamond Platnumz ametangaza habari njema kwa watanzania hasa hasa kwa wadau wa tasnia ya habari kwamba anatarajia kufungua Wasafi FM na Wasafi TV
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Waka’ akiwa amemshirikisha msanii wa muziki wa kufoka kutoka Marekani, Rick Ross, alitoa taarifa ya ujio wa redio hiyo na TV jana kupitia kipindi cha [HASHTAG]#10over10[/HASHTAG] cha Citizen Tv Kenya.
![]()
Hata hivyo kabla ya jana ku confirm ujio huo wa redio na Tv lakini pia Diamond Platnumz kupitia twitter yake Disemba 30 mwaka 2017 alitoa taarifa hio lakini muda mfupi baadae aliifuta taarifa hiyo.
![]()
Azam Sports HD, hii ni HD haswaaTanzania hatuna chaneli hata moja ya HD, king'amuzi kuwa HD haimaanishi chaneli nazo zitakuwa HD......Dstv yenyewe ina baadhi tu ya chaneli za HD.
zari mbona kimya sana siku hiziHongera kwa wahusika wote.
Aje alikibaNaona song la kassim mganga kwa mbali
Likipigwa la kiba mnistue waungwana
Kuiweka huko si uzalendoKwahio sisi tunaotumia DSTV tumebaguliwa?
Naomba nijuzwe maana ya HD,na sifa zake, na kwanini channel zingne hazina HD .je,ni gharama au ni nini..Azam Sports HD, hii ni HD haswaa
High DefinitionNaomba nijuzwe maana ya HD,na sifa zake, na kwanini channel zingne hazina HD .je,ni gharama au ni nini..
Kweli wameamua.....cjui timu kiba huko waliko wanajisikiaje
Umeseman quality na picha imekaa vizuri ni HD yani 720p au Full HD yani 1080p? Au 4k?View attachment 731445
Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122 ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka katika decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.
Nawatabiri makubwa zaidi!
HONGERA DIAMOND na Uongozi wako!