Mimi nipo mtaa wa mabatini kijiji cha mnkola kata ya ibihwa wilaya ya bahi mkoa wa Dodoma. Huku mambo ya TV na ving'amuzi bado hayajafika. Vipi redio wamewasha?
Naiona wasafi Tv kupitia Azam decoder Chanell # 122. Ki ukweli mmeanza vizuri, Quality ya picha ni mzuri.
Mmechagua vyema kuweka ktk decoder ya Azam kwani kwa sasa hakina mpinzani kwa Tz.