Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.