Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ni baada ya huyu mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri east afica nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na "sukari ya warembo"
wawili hao walipanda ndege pamoja ili kuja Tz wakifurahia safari yao kwa kujipiga picha zao na kuziweka hadharani mtandaoni, ila haikuishia hapo ambapo wawili hao walipotua dar waliendelea kula bata kwa style ya aina yake maeneo ya beach wakiwa wamepose kwenye picha zikionyesha kimwana zari hajiwezi kujinasua katika mahaba mazito anayopewa na kijana Dangote
View attachment 200372View attachment 200373View attachment 200374