Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.
Ni kwelii sema ana mabifu anaogopaa teh teh
Na mimi na wewe wacha tutanuwe weekend hii kwa mapicha tutupiemo Instagram.
Dangote piga huyooo akugandeeer lazima adate na kirungu chezeaaaaaaaaa,pesa ni zake k ni mali ya jamii
Hapo dangote lazima alambe hakuna mkate mgumu mbele ya chaiiii
sasa dina anamfichaje kwa mfano? kama baba na mama na ndugu wengine wanamjua sisi wambea tuna faida gani kulazimisha kumjua mtoto wa watu? siku moja pokello instagram aliulizwa na followe mmoja kwamba mahusiano yake na elikem yapoje akamjibu yule follower unaniuliza ukiwa kama baba yangu au nani? heri awafiche tu manake sie binadam hatufai kwa umbea, unaona hata zari hapa anatafutiwa sababu
For what I know huyu demu pesa anayo na wala sio ya kusingizia... hizo boutiques ni sehemu tu ya michongo yake... kama sikosei (don't quote me) nadhani anamiliki au ana share za kutosha tu kwenye vyuo vinavyoenda kwa jina la Brooklyn City Colleges pande za South Africa. Lakini hata hivyo, sidhani kama biashara zake zote ni clean businesses! Mond kwa Zari ni kama mbingu na ardhi sema ndo vile tena, ilipo papuchi lazima itafute dushelele na wala haina fixed conditions kwa kuzimechisha!! Vigezo na masharti mara nyingi hubadilika kutegemeana na mazingira!!!
Diamond, kiba, zari n.k muda huu hata hawajui Kama kuna uwepo wa mtu kama mimi au wewe unaenisoma ila tunatoana macho hapa. Wandugu tofauti zetu za kimitizamo na kihisia zisitufanye tutoane macho wakati hata hatufahamiani. Ushabiki upo ila tetea kwa kutumia strength za umshabikiaye na usivuke mipaka na kuattack mtoa maoni.
Mavi yake na misifa yake kamvamia kupiga nae picha arushe watu roho
Mi nilidhan unasema Dai,kiba,zari wapo wote na picha umerusha looo nikawah fasta umbea huuu haina mbaya kushabikia mtu unaempenda ila sio vizuri mi nitoe maoni halaf mtu anikoti anikaripiee weeee mara ya mwisho kukaripiwa bado nipo home, sasa hiv na ukubwa huu unikaripiee nikuangalie tu labda niwe nimekunywa viroba hivi hivii tu oooooo
Halaf Dai anajua uwepo wetu sana hata kiba pia, ushabiki sio mpaka ulipwee
Mjini watu wakikujua ni hatareeeeee si unaona hata ya mwaka 45 yatafufuliwa. Yanageuzwa fimbo ya kuchapiwa nayo. Alishasema kamwe hawezi kuweka wazi iwe mama yake, mtoto wake n.k.
Alafu familia yao inajiweza sana tu
Ndo maana nilisema MTU asivuke mipaka na kuattack member ?. Why akukaripie? Si akamkaripie dai ambaye anajadiliwa hapa.
Nawe kwa ushaurii ,haya tuendelee na menginee,leo usinitoroke kwenye my ushuz sawaaaaaaqq
Aka sijashauri nimecomment. Hahahaha we mie Niko kijijini siwezi ona hyo shuz bwana. Ingekuwa clouds fm sawa. Ntaangalia recorded.
Nawee nipishe sasa upo kijiji kipi hicho hakina tv jaman si ungeenda na king'amuz halaf ukawaachiaaa,unaniudhi ujuee
Huo ndio ukweli.... Otherwise unipatie option ya kuangalizia online
Mavi yake na misifa yake kamvamia kupiga nae picha arushe watu roho