Mavina ya kutosha
Hapana chezeiyaaaaaaa Dangoteee noumaaaaaaaaaaa
Kweli Dangote kaamua kabisa!
Sawa chibu,ila sasa,hawa wapambe wako wanakuharibia huku maana unaonekana umejinadi kisa umepiga picha na demu mwenye pesa east africa nzima na kupanda nae ndege then sjui nini cha ajabu,kwani ndo vipi yaan?tumejua sasa kuwa we umepiga selfie na demu mwenye pesa tukusaidie nini sasa??????au tufanyaje???? Kwani si ishu ya kawaida hii!!!!! Acha ujinga aiseee.
Sent from my radio
huyo demu ndo kapiga picha na diamond, sio diamond kapiga picha na huyo demu
Diamond superstar Afrika mashariki nzima.....
Dogo hatumtaki tu sema ndo keshatuacha hivyo na tunachofanya ni kukinga magunia eti kuzuia upepo!!Diamond superstar Afrika mashariki nzima.....
Huyo Zari mwenyewe aliyatarajia haya... unapiga picha na Diamond halafu unaweka kwenye social network!!Eti Diamond amuonyesha mpenzi mpya... Hahahaaaa kweli watu ni nyoko aisee!
Waambie hao manake hawakawagi kuwasikia wakisema Diamond anatafuta kiki kupitia kwa mademu... huyo Zari mwenyewe kama angerekodi namba ya followers kabla na baada ya ku-post pichaya Diamond ndipo angefahamu Diamond hasa ni nani... tumtake ama tusimtake it's too late!!Diamond hata kuzipost huko Insta hajazipost....
Jinsi Mungu alivyotujaalia husuda waja wake si ajabu hapo ukakuta kuna watu kimewauma kishenzi wakati ni picha tu hiyo...Diamond superstar Afrika mashariki nzima.....
Jinsi Mungu alivyotujaalia husuda waja wake si ajabu hapo ukakuta kuna watu kimewauma kishenzi wakati ni picha tu hiyo...
Hakunagaaaaaaa
Sidhani... kwa mtu anayemfahamu au kumfuatilia Zari ni mtu wa kupenda sana kupiga picha na wasanii walio kwenye hit... Diamond sio wa kwanza; inawezekana Diamond akawa wa kwanza kwa hapa Tanzania! Kuhusu tuhuma za Zari kujihusisha na ngada, inawezekana kabisa manake mnh... kwa pesa aliyonayo na umri havifanani kabisa unless viwe vya urithi!Ila ndo jua halizibwi kwa ungo...ila me nimewaza behind the scene...hivi hawabebeshani ngada hawa? manake nasikia demu ndo issue zake hizo...
Sidhani... kwa mtu anayemfahamu au kumfuatilia Zari ni mtu wa kupenda sana kupiga picha na wasanii walio kwenye hit... Diamond sio wa kwanza; inawezekana Diamond akawa wa kwanza kwa hapa Tanzania! Kuhusu tuhuma za Zari kujihusisha na ngada, inawezekana kabisa manake mnh... kwa pesa aliyonayo na umri havifanani kabisa unless viwe vya urithi!
Suala la kuachia mzigo ni very possible... kwenye mapenzi hakuna kinachoshindikana! Huyo Zari mwenyewe anavyohusudu six packs...Ni mtazamoo tuu...Manake bidashost ana pesa ndefu hatari., halafu haringi kihivyo, hata nikisika kaachia mzigo kwa mtoto wa Tandale naweza kuamini......!
Suala la kuachia mzigo ni very possible... kwenye mapenzi hakuna kinachoshindikana! Huyo Zari mwenyewe anavyohusudu six packs...