Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Maskini namuonea huruma wema najua inamuuma sana
 
Sawa chibu,ila sasa,hawa wapambe wako wanakuharibia huku maana unaonekana umejinadi kisa umepiga picha na demu mwenye pesa east africa nzima na kupanda nae ndege then sjui nini cha ajabu,kwani ndo vipi yaan?tumejua sasa kuwa we umepiga selfie na demu mwenye pesa tukusaidie nini sasa??????au tufanyaje???? Kwani si ishu ya kawaida hii!!!!! Acha ujinga aiseee.

Sent from my radio

huyo demu ndo kapiga picha na diamond, sio diamond kapiga picha na huyo demu
 
Diamond hata kuzipost huko Insta hajazipost....
Waambie hao manake hawakawagi kuwasikia wakisema Diamond anatafuta kiki kupitia kwa mademu... huyo Zari mwenyewe kama angerekodi namba ya followers kabla na baada ya ku-post pichaya Diamond ndipo angefahamu Diamond hasa ni nani... tumtake ama tusimtake it's too late!!
 
Ila ndo jua halizibwi kwa ungo...ila me nimewaza behind the scene...hivi hawabebeshani ngada hawa? manake nasikia demu ndo issue zake hizo...
Sidhani... kwa mtu anayemfahamu au kumfuatilia Zari ni mtu wa kupenda sana kupiga picha na wasanii walio kwenye hit... Diamond sio wa kwanza; inawezekana Diamond akawa wa kwanza kwa hapa Tanzania! Kuhusu tuhuma za Zari kujihusisha na ngada, inawezekana kabisa manake mnh... kwa pesa aliyonayo na umri havifanani kabisa unless viwe vya urithi!
 
Ni mtazamoo tuu...Manake bidashost ana pesa ndefu hatari., halafu haringi kihivyo, hata nikisika kaachia mzigo kwa mtoto wa Tandale naweza kuamini......!
 
Ni mtazamoo tuu...Manake bidashost ana pesa ndefu hatari., halafu haringi kihivyo, hata nikisika kaachia mzigo kwa mtoto wa Tandale naweza kuamini......!
Suala la kuachia mzigo ni very possible... kwenye mapenzi hakuna kinachoshindikana! Huyo Zari mwenyewe anavyohusudu six packs...
 
Mapenzi ya siku hizi bhana yaani hata arobain hajafika kashapata mwingine
 
Suala la kuachia mzigo ni very possible... kwenye mapenzi hakuna kinachoshindikana! Huyo Zari mwenyewe anavyohusudu six packs...

Ndio maana babu Le Mutuz alianza kupiga mazoezi baada ya kupiga picha na huyu mrembo,kumbe babu alikuwa anatafuta six packs japo alishindwa.
 
Back
Top Bottom