Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Hahahaaa huu ni ugomvi first class......hebu tupia na ile picha yake akifanya mazoezi....

Hii cjui alikua anatolewa pepo mana n hatari
 
Attachments

  • 1415436746076.jpg
    1415436746076.jpg
    11.7 KB · Views: 448
Mkuu wa Matola, sina hakika kama umeona baadhi ya posts zangu kuhusu hii mada... nimeshasema kabla kwamba suala la Zari kupiga picha na wasanii ni jambo la kawaida sana kwake kwahiyo kupiga picha na Diamond haiwezi kumaanisha chochote though nothing is impossible under the sun. Moja ya hizo posts, ni hii hapa:
Post uliyoni-quote ni kuhusu tuhuma kwamba Diamond anasafiria nyota za mademu... hili nitapinga na nitaendelea kupinga na nina sababu! Mathalani, hapo kabla mtu kama Menninah alikuwa anafahamika na wachache sana na hata hapa jukwaani ilikuwa ni nadra kukuta Meninna anajadiliwa. Lakini alipohusishwa na Diamond, threads kuhusu Meninah zikawa hazikauki hapa jamvini! Mtu kama Diamond amekuwa midomoni mwa watu na medias/social networks kwa zaidi ya miaka mitatu sasa! Sasa inapotokea mtu kama Meninah ambae alikuwa hajadiliwi hapo kabla lakini anakuja kujadiliwa baada ya kuhusihwa na Diamond, hapo huwezi kusema Diamond anasafiria nyota ya Meninah bali ni Meninah aliyekuwa anasafiria nyota ya Diamond.

The same things happened kwa Jokate... ingawaje Jokate ni maarufu hapa mjini lakini hakuwa mtu wa kujadiliwa sana kwene medias na social networks lakini alipokuwa mpenzi wa Diamond, threads kuhusu Jokate zikawa hazikauki hapa jamvini! Ikaja tena kutokea kwa Penny... alipokuwa na Diamond threads kuhusu Penny zikawa hazikauki hapa jamvini!! Sasa katika mazingira kama hayo haiingii akilini kudai eti Diamond anasafiria nyota za mademu wakati ni hao mademu ndio wanakuwa vinywani mwa watu mara wanapohusihwa na Diamond wakati inakuwa tofauti kabla!

Tukiweka biase pembeni, si mademu tu bali hata wanaume! Dogo anayejiita Tanzanite alianza kufahamika only because alitumia nyimbo ya Diamond (Mbagala). Kuna dogo mwingine na yeye anajifanya mdogo wake Diamond... hata ukiingia You Tube unakuta video zake na zina viewers wa kutosha kabisa only because hizo videos kwa namna moja au nyingine zinamuhusisha Diamond wakati Dogo mwenyewe didhani hata kama huko mtaani kwao anaahamika several blocks away! Leo hapa heaven on desert aki-post tu, watu wanaingia kwenye threads zao only because of Diamond! Wewe Matola labda ni-assume you're not celebrity in the real world! Lakini leo hii kuwa karibu na Diamond, trust me haitapita miezi mitatu kabla hujaanza kujadiliwa kupitia you're real identity only because you're with Diamond. Mifano ipo mingi... inawezekana ukweli usitupendeze lakini huo ndio ukweli wenyewe! Nahisi... sina ushahidi, lakini naamini umaarufu wa Diamond umevuka hata ule wa Juma Nature... why? Juma Nature alikuwa anakubalika zaidi na masela kuliko mademu lakini Diamond amekamata pande zote... kuanzia kwa masela na mademu hadi kwa watu wazima!

I know you know mimi ni mtu mwenye mawazo huru. Katika mazingira kama hayo mtu hawezi kunishawishi kwamba eti Diamond anatembelea nyota za watu wakati ushahidi unaonesha kinyume chake!!

Kula likes 1000
 
Last edited by a moderator:
Mhh..hajaenda Singida kufuatilia ule msiba? labda anataka kuibuka na habari za kiuchunguzi...

Au ndo kafwariki binam yangu jamanii tabia gani kuondoka bila kuaga au ana ban!!!!!
 
Niongeze mbili nimuhonge nifah labda ataelewa ninamaanisha nini ninaposema naugua juu yake...

Ataeleweka tu mwanamke shurti aringe kdg but mwisho wa cku anaachia,hata kuku akitaka kupandwa lazima akimbizweeeeeee hata km nae ana genye. Ucjali ntakusidia kuuza maneno
 
Last edited by a moderator:
Jmn anaejua jina la huyu demu insta tafadhali tumfollow wengine ndo zetu pllllllz
 
Au ndo kafwariki binam yangu jamanii tabia gani kuondoka bila kuaga au ana ban!!!!!

Usimchulie bwana...ban hana, siku hizi binamu kawa mstaarabu kama memeeeeee....wajinga wajinga anawapotezeaa...
Atakujaa...
 
Last edited by a moderator:
Ataeleweka tu mwanamke shurti aringe kdg but mwisho wa cku anaachia,hata kuku akitaka kupandwa lazima akimbizweeeeeee hata km nae ana genye. Ucjali ntakusidia kuuza maneno

My dear usimsaidie huyo ni adui yetu mkubwa sana...hiyo ni mbinu yake tu anataka kutuvurugia umoja wetu ili apate kutushambulia kirahisi...
 
Ataeleweka tu mwanamke shurti aringe kdg but mwisho wa cku anaachia,hata kuku akitaka kupandwa lazima akimbizweeeeeee hata km nae ana genye. Ucjali ntakusidia kuuza maneno
Kumbe nitakuja kubeba mzigo enh, sema niwe mvumilivu, au sio? Sema tatizo Le Mutuz... huyu mtoto kaoza ile mbaya kwa Le Mutuz mwenyewe ukimuuliza, eti oh huyu mzee huwa ananichekeshaga... aaaargh, kuchekeshwa gani mtoto wa kike hadi unalainika kabisa laiiinii kama kondom iliyotumika! Au inawezekana ndo mapozi yenyewe... kama ndiyo, basi mwambie nm-dedicate hii hapa:
 
Hahahaaaa. ....umetisha aisee, Le Mutuz!!! Kama vile namuona Nifah kapoz kwenye lichest la le mburulaz hahaha aaaa cpati picha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom