Kumbe enh... mie nipo tayari kwa lolote mbele ya Princess nifah... kwanza unafikiri huyo Mond mie namfagilia basi... mambo Mwana Dar es salaam... Diamond mshamba tu famba tu mtoto wa Tandale limbukeni kwa watoto wa kishua... ole wake amjongelee mtoto nifah... namfanyia kitu mbaya!! Na kama issue ni tuzo saba za Kili mwaka huu Mwana Dar es salaam inachukua tuzo ya video bora, wimbo bora, mashairi bora, pini lililogongwa sana kwenye media, mwenyewe mfalme anachukua tuzo ya kusepa na kurudi, tuzo ya six packs zinazochipukia, tuzo ya kutokuwa na domo... hesabu kwanza... nane hazishafika tu?Mimi ni Ankal wa huyo mrembo, kama mjomba sharti ni lazima ujiunge na Mfalme Kiba fans kama huwezi hupati mke.
Last edited by a moderator: