Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Ndio maana babu Le Mutuz alianza kupiga mazoezi baada ya kupiga picha na huyu mrembo,kumbe babu alikuwa anatafuta six packs japo alishindwa.
Hahaaaa... huu ni ujeuri uliopitiliza viwango vya ujeuri dhidi ya Le Mutuz... Kwahiyo unachomaanisha ni kwamba Le Mutz aende kwa Chibu ampe siri ya six packs, au?
 
Hahaaaa... huu ni ujeuri uliopitiliza viwango vya ujeuri dhidi ya Le Mutuz... Kwahiyo unachomaanisha ni kwamba Le Mutz aende kwa Chibu ampe siri ya six packs, au?

Inabidi babu yetu ajishushe tu,amfate tajiri wa Tandale ampe hiyo siri ya hiyo six packs.
 
Asprin mume wangu kuja huku uninunulie lamborghin!
Ndo namalizia formalities hapa TRA mke wa ujana wangu.

Mimi penda wewe sana..... Hebu ukuje tena hapa Pentagon unipe tena ile tamuuuuu...
 

Mkuu Nasdas with all due respect sina shaka na upeo wako na nina hakika utakuwa umetembeatembea kidogo nchi mbili tatu, hivi ni kweli Watanzania tumefikia hatuwa tumekuwa vipofu na wala hatujui umuhimu wa memory kama picha?

Wasanii ni kivutio kwa kila mshabiki wa muziki tuachane na mambo mengine yasiyo na maana kwa mtu mwenye akili kubwa.

Binafsi kabla sijajiajili nimefanyakazi za Tours lakini ukiniuliza kwa nini wazungu wanavutiwa na wamasai kwakweli siwezi kukupa jibu sahihi, na binafsi mimi ni mpenzi wa dance huwa nikienda kwenye show kama za Ngwasuma mashabiki upiga picha na wanamuziki.

Sichukulii kila kitu serious lakini kama picha ni big deal basi hakuna Mtanzania yeyote anayemuweza King of all social network na huyo Zari Le Billionare amepiga naye picha kitambo tu.
 

Ni wewe mkuu Matola au kuna mtu kakwapua id yako.Sikuwahi fikiria kama ipo siku utajishusha hivi ila nimefurahi.
 

Acha ushamba... Alikuambia nani demu akiwa na hela nyingi hachapiki?
 
Mkuu wa Matola, sina hakika kama umeona baadhi ya posts zangu kuhusu hii mada... nimeshasema kabla kwamba suala la Zari kupiga picha na wasanii ni jambo la kawaida sana kwake kwahiyo kupiga picha na Diamond haiwezi kumaanisha chochote though nothing is impossible under the sun. Moja ya hizo posts, ni hii hapa:
Post uliyoni-quote ni kuhusu tuhuma kwamba Diamond anasafiria nyota za mademu... hili nitapinga na nitaendelea kupinga na nina sababu! Mathalani, hapo kabla mtu kama Menninah alikuwa anafahamika na wachache sana na hata hapa jukwaani ilikuwa ni nadra kukuta Meninna anajadiliwa. Lakini alipohusishwa na Diamond, threads kuhusu Meninah zikawa hazikauki hapa jamvini! Mtu kama Diamond amekuwa midomoni mwa watu na medias/social networks kwa zaidi ya miaka mitatu sasa! Sasa inapotokea mtu kama Meninah ambae alikuwa hajadiliwi hapo kabla lakini anakuja kujadiliwa baada ya kuhusihwa na Diamond, hapo huwezi kusema Diamond anasafiria nyota ya Meninah bali ni Meninah aliyekuwa anasafiria nyota ya Diamond.

The same things happened kwa Jokate... ingawaje Jokate ni maarufu hapa mjini lakini hakuwa mtu wa kujadiliwa sana kwene medias na social networks lakini alipokuwa mpenzi wa Diamond, threads kuhusu Jokate zikawa hazikauki hapa jamvini! Ikaja tena kutokea kwa Penny... alipokuwa na Diamond threads kuhusu Penny zikawa hazikauki hapa jamvini!! Sasa katika mazingira kama hayo haiingii akilini kudai eti Diamond anasafiria nyota za mademu wakati ni hao mademu ndio wanakuwa vinywani mwa watu mara wanapohusihwa na Diamond wakati inakuwa tofauti kabla!

Tukiweka biase pembeni, si mademu tu bali hata wanaume! Dogo anayejiita Tanzanite alianza kufahamika only because alitumia nyimbo ya Diamond (Mbagala). Kuna dogo mwingine na yeye anajifanya mdogo wake Diamond... hata ukiingia You Tube unakuta video zake na zina viewers wa kutosha kabisa only because hizo videos kwa namna moja au nyingine zinamuhusisha Diamond wakati Dogo mwenyewe didhani hata kama huko mtaani kwao anaahamika several blocks away! Leo hapa heaven on desert aki-post tu, watu wanaingia kwenye threads zao only because of Diamond! Wewe Matola labda ni-assume you're not celebrity in the real world! Lakini leo hii kuwa karibu na Diamond, trust me haitapita miezi mitatu kabla hujaanza kujadiliwa kupitia you're real identity only because you're with Diamond. Mifano ipo mingi... inawezekana ukweli usitupendeze lakini huo ndio ukweli wenyewe! Nahisi... sina ushahidi, lakini naamini umaarufu wa Diamond umevuka hata ule wa Juma Nature... why? Juma Nature alikuwa anakubalika zaidi na masela kuliko mademu lakini Diamond amekamata pande zote... kuanzia kwa masela na mademu hadi kwa watu wazima!

I know you know mimi ni mtu mwenye mawazo huru. Katika mazingira kama hayo mtu hawezi kunishawishi kwamba eti Diamond anatembelea nyota za watu wakati ushahidi unaonesha kinyume chake!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana babu Le Mutuz alianza kupiga mazoezi baada ya kupiga picha na huyu mrembo,kumbe babu alikuwa anatafuta six packs japo alishindwa.

Hahahaaa huu ni ugomvi first class......hebu tupia na ile picha yake akifanya mazoezi....
 

Aise umemaliza
 

Ni kweli umenena bi dada watu ushabiki umezidi kutofautiana ni kosa na kuanza kushambuliana sijui ni sifa ku attack ua so neutral my dia i always like ua argument keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…