Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Mimi ni Ankal wa huyo mrembo, kama mjomba sharti ni lazima ujiunge na Mfalme Kiba fans kama huwezi hupati mke.
Kumbe enh... mie nipo tayari kwa lolote mbele ya Princess nifah... kwanza unafikiri huyo Mond mie namfagilia basi... mambo Mwana Dar es salaam... Diamond mshamba tu famba tu mtoto wa Tandale limbukeni kwa watoto wa kishua... ole wake amjongelee mtoto nifah... namfanyia kitu mbaya!! Na kama issue ni tuzo saba za Kili mwaka huu Mwana Dar es salaam inachukua tuzo ya video bora, wimbo bora, mashairi bora, pini lililogongwa sana kwenye media, mwenyewe mfalme anachukua tuzo ya kusepa na kurudi, tuzo ya six packs zinazochipukia, tuzo ya kutokuwa na domo... hesabu kwanza... nane hazishafika tu?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa. ....umetisha aisee, Le Mutuz!!! Kama vile namuona Nifah kapoz kwenye lichest la le mburulaz hahaha aaaa cpati picha
Huyu mtoto bhana cjui alilelewa na house girl mtoto akawa habebwi bebwi matokeo yake anafika ukubwani anaanza kuzimika kwa watu wenye mamili makuuuuuubwaaaa... anadhani atakuwa anabebwa ili ku-compensate na aliyokosa utotoni!
 
My dear usimsaidie huyo ni adui yetu mkubwa sana...hiyo ni mbinu yake tu anataka kutuvurugia umoja wetu ili apate kutushambulia kirahisi...
Come on my Princess... nipo tayari kutangaza uadui hata na mama NasDaz kwa ajili yako na katu wewe uliye sawa na malaika wa moyo wangu huwezi kuwa adui hata siku moja! Kama issue ni Diamond, mie nilikuwa najifanyisha tu mpenzi manake nafahamu Mond ni mtu wa totoz na nilitaka kufahamu kwamba na wewe huwa unamshobokea.. dah, nimejawa na furaha ile mbaya nilipogundua kwamba Diamond mbele yako ni kimavi tu... and yes, ni kimavi tu... sasa unasemaje mtoto mzuri?!
 
Mmwaaah nas lap youuuuuu
Hili si busu hili jamani.... mungu wangu, nifah akishaona tu ndo shamkosa jumla! Ah, basi bwana... kwanza kazidi kuringa.. kyler na wewe mmmwaahahaaaa mmwaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Hili si busu hili jamani.... mungu wangu, nifah akishaona tu ndo shamkosa jumla! Ah, basi bwana... kwanza kazidi kuringa.. kyler na wewe mmmwaahahaaaa mmwaaaah!

Hahahaaaaah mbona nilishaona zamani?haya nimemkabidhi kijiti bibie....
 
Last edited by a moderator:

aisee huu ni zaidi ya utapeli
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhhaaaaaaa umeuaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nadhani c busara kukaripiana ni suala la kuchangia hoja kistaarabu hata kama kuna tofauti ya mitazamo, km vp pia pita kimya. Hata huyo Dai hastahili kukaripiwa coz hajawatuma mumjadili hapa though yy ni celebrity as maceleb to wako kibao.

Utakuwa uko kwenye heat period tafuta bwana akupumulie. Nshamaliza
 
Kukaa kimya ni jibu kwako mkuu

Heri ungekaa kimya tokea mwanzo kwani kupambanua na kuelewa jambo kulikushinda mwisho ulijikuta unaandika pumba. May be ndio uelewa wako ulipogotea hapo. Sasa umeamua kuwa mtoto mzuri.

Ushauri wa bure: ukiona mahali nimecomment wewe potezea tu. Si lazima uniquote wapo wengi unaweza waquote.

Ndio hivyo yani. M out
 
aisee huu ni zaidi ya utapeli
Acha fitina mtoto wa kike... we unaona mi nataka kubeba mzigo hapo halafu unaanza kuleta majungu...! Hello nifah, you're the apple of my eye, wewe ndo kila ki2 kwangu... hata mama angu mzazi nimemuomba abadili jina ili nae aitwe nifah na amekubali kwahiyo achana na huyu geniveros, amejawa na wivu coz' alikuwa ananitaka wakati mie simtaki na nishadata kwako, tena ngoja nikupe dedikesheni ya kutoka kwa mnyama Kiba kula kitu:



Habari ndo hiyo, Mwana Dar es salaam ndo mpango mzima, nini Domo, mambo yote ni Dangot... astaghfirrullah, nilitaka kuharibu!
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaa
asipoingia kingi ndo baas tena maana mashairi heavy
 
Last edited by a moderator:

hahahaha chezea love wewe hata uraia unaweza kuukana NasDaz umetisha
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa asipoingia kingi ndo baas tena maana mashairi heavy
Abishae hodi ufunguliwa, nami sina shaka moyo wa nifah utafunguka na kutoa hifadhi ya kudumu na yenye ubaridi mwanana kwa ajli ya moyo wangu unaohangaika huku na kule kwa ajili yake! Sema Ameeen...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…