Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

hapo sasa nimekuelewa maanake niliyoyaona huko IG yamenitetemesha
Hapa nafanya mahesabu Zari atapata Followers wangapi Instagram tangu awe karibu na Chibu... unajua kila siku huwa napinga kwamba Mond huwa anatembelea nyota za mademu wakati mimi naamini kila anayejihusisha na Chibu ndie anakuwa habari ya mjini... research yangu kuhusu followers kwa Zari inaisha saa nane lakini hadi sasa... chini ya saa 20, tayari ameshakuwa followed na watu takribani 1800... within 24 hours am sure watafika followers 3000... Sidhani kama Zari alishawahi kupata traffic kubwa kiasi hicho ndani ya 24 hours!!!
 
Sa' vipi tena...? Ukijisikia kizungu zungu niambie ili nikudake... sitaki udondoke coz' Dinazarde bado anahitaji back up yako!!

Haaaa hayo mahabari yalininyongonyeza.. niliingia insta nikajikuta nimenywea ghafla..

Kuhusu followers kapata wakutosha kwakweli watu nikiwemo mimi imebidi nimfollow kabisaa
 
Last edited by a moderator:
jamani mi ndio naamka, nahitaji muda wa kula huu ubuyu, chai haipiti, nikimeza mate yanakwama uuwiiii mond u are givin to much than what we want. khaaaah!!!

Ila Zari kamshukuru diamond, kasema thank you for the new project Africa get ready.

Am released somehow
 
Haaaa hayo mahabari yalininyongonyeza.. niliingia insta nikajikuta nimenywea ghafla..

Kuhusu followers kapata wakutosha kwakweli watu nikiwemo mimi imebidi nimfollow kabisaa
Nini kimekunyon'gonyesha huko Insta? Wehu washaanza matusi nini??!!
 
Kuna watu wamekasirika kisa dangote. .. hahaha acha ale ujana. . Nani asiye mtaka zari hata kama bibi kazaa watoto 5 ..zari bado mrembo. . Kushinda wema. . Acha wema akae benchi alee vimbwa kwanza. .
 
Aiseeee........kweli hata uwe na pesa kiasi gani........bila ninilino........hujakamilika.........
Ninavyomuonaga Zari........mmmmmh.....

Wadau wanadai ni video shooting. Lets wait.
 
Nini kimekunyon'gonyesha huko Insta? Wehu washaanza matusi nini??!!

Watu washaanza kutukana watu viakaunti vipya vinatiririka.

Ila mwenyewe keshasema ni new project watu tukae tayari kwa hiyo kazi mpya
 
Watu washaanza kutukana watu viakaunti vipya vinatiririka.

Ila mwenyewe keshasema ni new project watu tukae tayari kwa hiyo kazi mpya
Hilo la matusi nilishatarajia na kuhusu new project... ah, haya bhana manake hadi leo tunasubiria new movie ya Diamond na Wema ambayo walienda ku-shoot China tangu mwaka jana lakini bado haijatoka!!!
 
Teamwema wameshaanza matusi. .. huko insta. . Huyo anayemtukana zari hata bajaji hana. .
Sasa kama ni Team Wema si ndo hao hao walikuwa wanahubiri "Bring Back Our Wema...!" Sasa Wema kawa released wanaanza matusi tena? Au ndo yale mambo ya kisebu sebu na kiroho papo? Au ndo yale unampiga chini boyfriend wako lakini ukimkuta na mtoto mwingine viwango vya juu kuliko wewe unaanza kuumia!!!

Afu huyu Zari kaamua makusudi kuwarusha watu roho... inaelekea kamwambia Chibu "we hiyo kazi niachie mimi" manake sidhani kama Chibu ame-post picha yoyote lakini ni Zari ndie anaye-post! Na kwa jinsi watu walivyo wehu, inawezekana walianza kutukana tangu jana lakini ndo kwanza akaamua kuweka photos zilizo kwenye mkao wa mahaba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…