Hapa nafanya mahesabu Zari atapata Followers wangapi Instagram tangu awe karibu na Chibu... unajua kila siku huwa napinga kwamba Mond huwa anatembelea nyota za mademu wakati mimi naamini kila anayejihusisha na Chibu ndie anakuwa habari ya mjini... research yangu kuhusu followers kwa Zari inaisha saa nane lakini hadi sasa... chini ya saa 20, tayari ameshakuwa followed na watu takribani 1800... within 24 hours am sure watafika followers 3000... Sidhani kama Zari alishawahi kupata traffic kubwa kiasi hicho ndani ya 24 hours!!!hapo sasa nimekuelewa maanake niliyoyaona huko IG yamenitetemesha